
Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia
Licha ya mgogoro wa kisiasa wa Tunisia kuendela kwa miezi kadhaa sambamba na kufanyika juhudi za kujaribu kuumaliza, lakini juhudi hizo zimeshindwa kuzaa matunda. Katika uwanja huo, Rais Kais Saied wa Tunisia ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya mahakama katika kuchelewesha uchunguzi wa ripoti zinazohusiana na ukiukaji uliofanyika katika mwenendo wa uchaguzi mkuu uliopita na…