AFRIKA

Moncef Marzouki: Kuiingiza Israel katika mzozo baina ya Algeria na Morocco ni mchezo mchafu

Moncef Marzouki: Kuiingiza Israel katika mzozo baina ya Algeria na Morocco ni mchezo mchafu

Moncef Marzouki, rais wa zamani wa Tunisia amekosoa vikali hati ya makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kueleza kwamba, hilo lilikuwa ni kosa. Faraan: Moncef Marzouki ameashiria mzozo na mvutano uliopo hivi sasa baina ya Algeria na Morocco na kuelezwa kwamba, kuingizwa utawala haramu…

Makumi ya watu watekwa nyara jirani na Cabo Delgado nchini Msumbiji

Makumi ya watu watekwa nyara jirani na Cabo Delgado nchini Msumbiji

Watu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya vijana 100 kutoka kijiji cha Naulala katika Mkoa wa Niassa kaskazini mwa Msumbiji. Mji wa Niassa unapakana na jimbo la Cabo Delgado nchini Msumbiji ambalo limekuwa katikak vita na makundi ya wanamgambo tangu Oktoba 2017. Taarifa zaidi zinasema kuwa, kundi la watu wenye silaha limewateka nyara vijana zaidi…

Shambulio jipya la waasi laua watu 33 Jamhuri ya Afrika ya Kati

Shambulio jipya la waasi laua watu 33 Jamhuri ya Afrika ya Kati

Watu wapatao 33, wakiwemo wanajeshi wawili, wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa kwa wakati mmoja na watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa waasi wa kundi liitwalo 3R katika vijiji viwili vilivyoko kaskazini magharibi mwa mkoa wa Ouham-Pendé, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Faraan: Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa hiyo ni idadi kubwa zaidi ya watu…

Watu 29, wakiwemo watoto, wapoteza maisha katika ajali ya boti Nigeria

Watu 29, wakiwemo watoto, wapoteza maisha katika ajali ya boti Nigeria

Watu 29, wengi wakiwa ni watoto, wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama Nigeria katika Mto Bagwai jimboni Kano kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Msemaji wa kitengo cha zimamoto jimboni Kano Saminu Abdullahi amesema ajali hiyo ilitokea Jumanne usiku. Akizungumza Jumatano, Abdullahi amesema wamepata miili 29 na kuwaokoa abiria saba huku jitihada zikiendelea kwa ajili…

Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia

Al-Shabaab yashambulia askari wa Ethiopia, uwanja wa ndege Somalia

Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeshambulia uwanja wa ndege na kambi ya kijeshi ya askari wa Ethiopia katika mji wa Baidoa, ulioko kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. Faraan: Duru za kiusalama zinaarifu kuwa, kwa akali askari mmoja ameuawa katika shambulio la kwanza lililolenga kambi ya jeshi la Ethiopia katika eneo la Suuqa…

Kuendelea maandamano ya Wasudan mjini Khartoum

Kuendelea maandamano ya Wasudan mjini Khartoum

Wananchi wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano kulalamikia mapatano ya kisiasa yaliyofikiwa nchini humo pamoja na kutaka serikali ya kiraia iundwe haraka nchini. Kamati za mapambano na vyama vya wafanyakazi vimeitisha maandamano makubwa leo Jumanne kwa ajili ya kufuatiliwa matakwa ya wananchi kutoka kwa serikali inayodhibitiwa na wanajeshi. Wakati huo huo, Stephane Dujarric, Msemaji wa Antonio…

Waziri wa Ethiopia autaja ubalozi wa Marekani nchini humo kuwa wa ‘kigaidi’

Waziri wa Ethiopia autaja ubalozi wa Marekani nchini humo kuwa wa ‘kigaidi’

Waziri mmoja nchini Ethiopia ameutaja Ubalozi wa Marekani nchini Ethiopia kuwa ni wa ‘kigaidi’ na kwamba haupaswi kuwa nchini humo. Faraan: Taye Dendea Aredo, Waziri wa Nchi wa Ethiopia, ameutuhumu ubalozi wa Marekani uliopo mjini Addis Ababa kuwa unachochea ghasia na kuhimiza ugaidi. Ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Facebook na kusisitiza kuwa haandiki…

Maandamano Morocco kupinga uhusiano na Israel

Maandamano Morocco kupinga uhusiano na Israel

Wananchi wa Morocco wameandamana kupinga hatua ya utawala wa nchi yao kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Maandamano hayo yalifanyika Jumapili katika miji 27 kote Morocco kwa mnasaba wa tarehe 29 Novemba ambayo huadhimishwa kote duniani kama Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina. Maandamano hayo yaliandaliwa…