AFRIKA

Afrophobia tishio kwa ndoto ya Afrika

Afrophobia tishio kwa ndoto ya Afrika

Kuna haja ya kuikumbatia tena ndoto ya umoja wa Afrika na kudai uhuru wa kusafiri kwa Waafrika wote ndani ya bara hili. Akiongea katika Jukwaa la Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika mjini Kigali, Rwanda,  tajiri mkubwa zaidi barani Afrika, na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, alilalamika kwamba anakabiliwa na vizuizi vingi zaidi vya kuzunguka Afrika hata…

Njaa ni tishio kubwa kwa wakimbizi wa Sudan nchini Chad

Njaa ni tishio kubwa kwa wakimbizi wa Sudan nchini Chad

Kwa Mujibu wa mashirika ya misaada; Njaa iliyokithiri nchini Sudan yasababisha maelfu ya raia kutoka mjini Darfur kukimbilia nchini Chad. Adre, Chad – ikiwa chini ya jua kali, ndio sehemu ambayo Awatef Adam Mohamed amepata kimbilio nje ya mpaka wa jangwa kati ya Sudan na Chad. Aliwasili Juni tarehe 8, na kuungana pamoja na makumi…

Habari za NBC: Marekani yamlenga kiongozi wa dunia wa ISIS nchini Somalia

Habari za NBC: Marekani yamlenga kiongozi wa dunia wa ISIS nchini Somalia

Habari za NBC ziliripoti kuwa jeshi la Marekani lilimlenga kiongozi wa ISIS nchini Somalia mwezi uliopita, lakini bado haijajulikana kama aliuawa katika shambulio hili au la. Habari za NBC, zikiwanukuu maafisa wa Marekani, ziliripoti kwamba jeshi la Marekani lilimlenga kiongozi wa ISIS nchini Somalia mwishoni mwa mwezi uliopita, ingawa bado haijabainika iwapo aliuawa au la….

Watu 21 wafariki dunia na kujeruhiwa baada ya basi la kanisa kuteketea kwa moto Zimbabwe

Watu 21 wafariki dunia na kujeruhiwa baada ya basi la kanisa kuteketea kwa moto Zimbabwe

Takriban Wakristo saba wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Manicaland waliokuwa wanatoka katika ibada ya kanisa la Bernard Mzeki mjini Marondera wameteketea kwa moja katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gandanzara wilayani Makoni baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuwaka moto ghafla. Basi hilo ambalo ni mali ya shirika la usafiri la Passion Link, liliteketea kwa…

Majeshi ya Marekani yalianza kuondoka Niger

Majeshi ya Marekani yalianza kuondoka Niger

Baada ya kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa nchini humo, Mkuu wa Majeshi ya Ardhini ya Jeshi la Niger alitangaza kuwa, kuondolewa kwa wanajeshi wa Marekani kutoka Niger pia kumeanza. Kwa mujibu wa Kanali Mamani Sunny Kyaw, Mkuu wa Majeshi ya Ardhini ya Jeshi la Niger, aliandika: “Marekani imeanza rasmi kuondoa vikosi vyake kutoka Niger, na…

Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe. Sehemu ya juu ya ukurasa wa mbele wa gazeti la…

Ripoti kuhusu njaa ya Sudan na hasara ya dola bilioni 200 kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe

Ripoti kuhusu njaa ya Sudan na hasara ya dola bilioni 200 kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mauaji na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan ambavyo vimedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja vimesababisha uharibifu wa zaidi ya dola bilioni 200 kwa uchumi wa nchi hiyo. Ripota wa Mtandao wa Habari wa Al-Alam nchini Sudan aliripoti: Sudan imekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji kwa zaidi ya mwaka mmoja, uharibifu…

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

Benki Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa agizo la kupunguza matumizi ya dola ya Marekani katika miamala ya sasa ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini humo. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inajaribu kupunguza utegemezi wa uchumi wa nchi hiyo kwa sarafu ya dola ya Marekani, na kuhusiana na hilo, hivi karibuni benki kuu…