AFRIKA

Korea Kusini yataka nini Afrika?

Korea Kusini yataka nini Afrika?

Baada ya kufanya mkutano na viongozi wa Afrika, Korea Kusini imeonyesha kuwa inataka kuwafikia wapinzani wake China, Japan, Urusi na India ili kuongeza ushawishi wake miongoni mwa nchi za bara hilo kwa kuongeza uwekezaji na kuendeleza ushirikiano wa pamoja. Kutoka tovuti ya Nation Africa, Korea Kusini ilifanya mkutano wa kwanza na wakuu wa nchi za…

Mgomo wa wafanyikazi nchini “Nigeria” walemaza sehemu muhimu za nchi hio!

Mgomo wa wafanyikazi nchini “Nigeria” walemaza sehemu muhimu za nchi hio!

Vyama vikuu vya wafanyikazi nchini Nigeria vilifunga gridi ya taifa ya umeme ya Nigeria na kulemaza safari za ndege kote nchini kupinga serikali kushindwa kukubaliana juu ya kiwango kipya cha chini cha mshahara. Mgomo huo, ambao ni wa nne tangu Rais Bola Tinubu aingie madarakani mwaka jana, umeandaliwa na Bunge la Wafanyakazi wa Nigeria na…

Mkopo wa Dola Bilioni 2.5 Kutoka Korea Kusini: Je, Tanzania Imeweka Rehani Bahari na Madini Yake?

Mkopo wa Dola Bilioni 2.5 Kutoka Korea Kusini: Je, Tanzania Imeweka Rehani Bahari na Madini Yake?

Dar es Salaam. Madai kwamba Tanzania inaweza kuwa imeweka rehani rasilimali zake za bahari na madini ili kukidhi vigezo vya kupata mkopo wa Dola za Kimarekani bilioni 2.5 kutoka Serikali ya Korea Kusini yanaonekana kutokuwa ya kweli, uchambuzi wa utoaji wa aina hiyo ya mikopo uliofanywa na The Chanzo unaonesha. Madai hayo ni sehemu ya mjadala mkubwa…

Jarida la Ufaransa lilichapisha ripoti kuhusu juhudi za UAE kupenya bara la Afrika.

Jarida la Ufaransa lilichapisha ripoti kuhusu juhudi za UAE kupenya bara la Afrika.

Kwa mujibu wa Arabi 21, kwa mujibu wa jarida la Kifaransa la “Jeune Afrique”, Mohammed bin Zayed, rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu na mtawala wa Abu Dhabi, kwa utajiri alionao, anaifanya UAE kuwa mhusika mkuu wa Afrika. bara, wakati huu Ushawishi wa UAE umevuruga usawa katika baadhi ya maeneo, ikiwa ni pamoja na…

Afrika ni eneo la pili kwa ustawi wa kasi kiuchumi duniani, Afrika Mashariki yaongoza

Afrika ni eneo la pili kwa ustawi wa kasi kiuchumi duniani, Afrika Mashariki yaongoza

Jumla ya nchi 41 za Afrika (yaani, 72% ya bara zima) zinatarajiwa kuonyesha viwango vya juu vya ukuaji wa kiuchumi mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana. Hayo ni kulingana na Mtazamo wa Kiuchumi wa Afrika wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Zaidi ya hayo, mwaka wa 2024 na 2025, bara Afrika litadumisha nafasi yake kama…

Mexico yapata Rais wa kwanza mwanamke; ni Sheinbaum

Mexico yapata Rais wa kwanza mwanamke; ni Sheinbaum

Claudia Sheinbaum amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchiini Mexico katika ushindi wa kihistoria. Mamlaka rasmi ya uchaguzi ya Mexico imesema kuwa, matokeo ya awali yameonyesha kuwa Sheinbaum meya wa zamani wa Mexico City mwenye umri wa miaka 61 ameshinda kati ya 58% na 60% ya kura katika uchaguzi wa jana Jumapili. Matokeo hayo yanampa…

Mashirika 19 ya kimataifa yanaonya kuhusu njaa inayokaribia nchini Sudan

Mashirika 19 ya kimataifa yanaonya kuhusu njaa inayokaribia nchini Sudan

Wakuu wa mashirika 19 ya kimataifa walionya kuwa nchi hiyo itakabiliwa na “njaa inayokaribia” ikiwa pande zinazohusika katika mzozo nchini Sudan zitaendelea kuzuia mashirika ya kibinadamu kutoa msaada kwa wahitaji. Kwa mujibu wa ripoti hii wakuu wa mashirika 19 ya misaada ya kibinadamu yakiwemo mashirika 12 ya kimataifa wametahadharisha katika taarifa yao kwamba, ongezeko la…

Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya washirika wa Wagner katika Afrika ya Kati

Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya washirika wa Wagner katika Afrika ya Kati

Wizara ya Fedha ya Marekani ilitangaza Alhamisi kwamba imeziweka kampuni mbili za Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye orodha yake ya vikwazo. kampuni hizo zimekua na uhusiano na Kundi la Russia la Wagner. Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Hazina ya Marekani, makampuni haya mawili yenye majina ya Saarlo Mining Industries na Saarlo Economic…