AFRIKA

Mwanasoka aliyekataa kuunga mkono ‘ushoga’ afungiwa kucheza mechi nne Ufaransa

Mwanasoka aliyekataa kuunga mkono ‘ushoga’ afungiwa kucheza mechi nne Ufaransa

Kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Monaco ya Ufaransa Mohamed Camara amefungiwa kucheza mechi nne za ligi ya nchi hiyo baada ya kuficha kwenye jezi yake ujumbe wa kutetea vitendo vichafu vya maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja wakati wa mechi ya mwisho ya ligi ya klabu hiyo msimu huu. Kamati…

Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi

Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi

Marekani na Umoja wa Ulaya zaichagua Kenya kujiunga na Ushelisheli katika kukabiliana na washukiwa wa baharini kando ya Bahari ya Hindi. Hii ni baada ya nchi kadhaa kuzua taharuki kutokana na vitisho vinavyotolewa na kundi la wa Houthi kutoka nchini Yemen na wengine kutoka Somalia. Kulingana na Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya, Kenya…

Mataifa ya Sahel yafanya luteka ya kijeshi Niger

Mataifa ya Sahel yafanya luteka ya kijeshi Niger

Mataifa matano ya Kanda ya Sahel yanafanya luteka ya kijeshi magharibi mwa Niger, ikiwa ni mara ya kwanza kwa shughuli ya aina hiyo kufanywa katika eneo linalokumbwa na machafuko ya makundi ya itikadi kali. Eneo la Sahel limegubikwa kwa miaka mingi na waasi wenye mafungamano na makundi ya waasi. Wizara ya ulinzi ya Niger imesema…

Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu

Kaimu Rais wa Iran: Tunafungamana na mkakati wetu wa kuimarisha ushirikiano na nchi za Kiislamu

Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linafungamana kikamilifu na stratejia na mkakati wake wa kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Kiislamu. Muhammad Mokhber amesema hayo katika mazungumzo yake hapa mjini Tehran Spika wa Bunge la Mali. Huku akiishukuru serikali na wananchi wa Mali kwa kuonyesha mshikamano wao na serikali…

Waislamu wa Tanzania wamuomboleza Sayyid Ebrahim Raisi

Waislamu wa Tanzania wamuomboleza Sayyid Ebrahim Raisi

Waislamu nchini Tanzania wameshiriki katika hafla ya kuwakumbuka na kuwaenzi viongozii wa Iran walioaga dunia hivi karibuni akiwemo Rais Ebrahim Raisi. Waislamu wa Tanzania wamefanya kumbukumbu ya maombolezo ya kumuenzi Rais wa Iran aliyeaga dunia Ebrahim Rais pamoja na maafisa wengine aliokuwa ameambatana nao akiwemo waziri wake wa mashauri ya kigeni Hussein Amir-Abdollahian. Maombolezo hayo…

Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini

Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kupigania kile alichokiita ‘haki yake’ ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo. Jumatatu iliyopita, Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini ilitoa hukumu kwamba Zuma hastahiki kugombea katika uchaguzi huo, ikisisitiza kuwa hana sifa za kuwa mgombea kwenye zoezi hilo la kidemokrasia. Kwenye video iliyotumwa kwenye jukwaa…

Watu 40 waliuawa nchini Nigeria kufuatia shambulio la watu wenye silaha

Watu 40 waliuawa nchini Nigeria kufuatia shambulio la watu wenye silaha

Siku ya Jumanne, serikali ya Nigeria ilitangaza kuwa watu wenye silaha walishambulia eneo moja kaskazini mwa nchi hiyo na kuua watu 40. Serikali ya Nigeria ilitangaza siku ya Jumanne kuwa watu 40 waliuawa na nyumba kuchomwa moto baada ya watu wenye silaha waliokuwa na pikipiki kushambulia eneo moja kaskazini mwa Nigeria. Serikali ya Nigeria ilisema…

Burkina Faso, Mali na Niger zaafiki mradi wa muungano

Burkina Faso, Mali na Niger zaafiki mradi wa muungano

Mawaziri wa mambo ya nje wa Burkina Faso, Mali, na Niger, Karamoko Jean Marie Traore, Abdoulaye Diop, na Bakary Yaou Sangare, wameidhinisha rasimu ya waraka wa kuundwa muungano wa nchi hizo tatu wakati wa mkutano katika mji mkuu wa Niamey. Rasimu hiyo sasa lazima isainiwe na viongozi wa nchi hizo tatu. Waziri wa Mambo ya…