AFRIKA

China imekuwa nguvu ya kwanza katika kuiondoa Marekani barani Afrika

China imekuwa nguvu ya kwanza katika kuiondoa Marekani barani Afrika

Kamwe Washington tena si kiungo chenye athari zaidi katika bara la Afrika, kulingana na kura ya maoni ya kimataifa ya Taasisi ya Gallup ya Marekani. Uchina iliweza kushika nafasi ya Amerika kama nguvu ya kwanza ya ulimwengu katika Bara Jeusi. Katika kura ya maoni ya Gallup, maoni ya nchi 36 za Afrika yaliulizwa kuhusu mataifa…

Waandamanaji wa Niger wanataka wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini mwao

Waandamanaji wa Niger wanataka wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini mwao

Siku ya Jumapili, waandamanaji wa Nigeria waliandamana mbele ya kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Agadis, ulioko kaskazini mwa nchi hii, kupinga kuendelea kuwepo wanajeshi wa Marekani. Kwa mujibu wa ripoti hii, waandamanaji waliimba nara katika mkusanyiko huu na kutaka wanajeshi wa Marekani waondolewe mara moja nchini mwao. Shirika la habari la Associated…

Congo yajiandaa kupanua na kuendeleza ushirikiano wake na Iran

Congo yajiandaa kupanua na kuendeleza ushirikiano wake na Iran

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiwa katika kikao na balozi mpya wa Iran amesisitiza utayarifu wa nchi yake katika kupanua na kuendeleza ushirikiano na Iran. Amir Hosseini, balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutana na kuzungumza na Bernard…

Maandamano ya waandamanaji wa Nigeria mbele ya kambi ya jeshi la Marekani

Maandamano ya waandamanaji wa Nigeria mbele ya kambi ya jeshi la Marekani

Raia wa Nigeria waliandamana mbele ya kambi ya jeshi la Marekani nchini Niger na kutaka wanajeshi wa Marekani waondolewe nchini mwao. Waandamanaji wa Nigeria walifanya maandamano mbele ya kambi ya jeshi la Marekani katika mji wa Agadiz, wakipinga kuendelea kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na kutaka wanajeshi hao waondolewe nchini humo. Mwezi uliopita, jeshi la…

UN: Mapigano yamewalazimisha watu 50,000 kukimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia

UN: Mapigano yamewalazimisha watu 50,000 kukimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia

Umoja wa Mataifa umefichua kuwa zaidi ya watu 50,000 wamekimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia, kutokana na mapigano yanayojiri katika eneo linalozozaniwa kati ya majimbo ya Tigray na Amhara. Mapigano ya pande hizo mbilii yamezua wasiwasi wa kimataifa. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema katika ripoti iliyochapishwa jana usiku…

Sheikh Zakzaky: Nililia kwa furaha kwa sababu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel

Sheikh Zakzaky: Nililia kwa furaha kwa sababu ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alitangaza kuwa, operesheni ya adhabu ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni ilifufua matumaini katika nyoyo za watu wanaodhulumiwa na kukandamizwa duniani. Sheikh Ebrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria akiashiria operesheni ya adhabu ya Iran ya “Ahadi ya Kweli” dhidi ya utawala wa Kizayuni ametangaza…

‘Niko tayari kufa’: Hotuba ya Mandela iliyotikisa  mfumo ‘Apartheid’ (ubaguzi wa rangi)

‘Niko tayari kufa’: Hotuba ya Mandela iliyotikisa mfumo ‘Apartheid’ (ubaguzi wa rangi)

Miaka 60 iliyopita wakati wa Kesi ya Rivonia nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela alitoa hotuba moja maarufu katika karne ya 20. Alitarajia kuhukumiwa kifo lakini badala yake aliishi kuona ndoto yake ya ‘jamii ya kidemokrasia na huru’ ikitimia. “Mshtakiwa namba moja” alikuwa akizungumza kutoka kizimbani kwa karibu saa tatu wakati alipotamka maneno ambayo hatimaye yangeibadilisha…

Zaidi ya asilimia 90 ya watoto hawaendi skuli kutokana na mgogoro wa vita nchini Sudan

Zaidi ya asilimia 90 ya watoto hawaendi skuli kutokana na mgogoro wa vita nchini Sudan

Mgogoro wa mwaka mzima sasa baina ya majenerali wa kijeshi wanaoongoza Jeshi la Sudan (SAF) na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) umepelekea kuvurugika mfumo wa elimu na kufutika nafasi za masomo za zaidi ya asilimia 90 ya watoto milioni 19 wenye umri wa kwenda skuli nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Umoja…