Mchambuzi wa Algeria: Kama isingekuwa Iran, Israel ingeteka nchi zote za Kiarabu
Mchambuzi wa Algeria sambamba na kupongeza mashambulizi ya adhabu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya misimamo ya utawala wa Kizayuni katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu, alizishambulia nchi za maelewano ya Kiarabu na kuzitaja kuwa ni “wafuasi na waungaji mkono wa adui mkubwa wa Waarabu na Waislamu”. Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sheria za…
Afisa wa Sudan: Wapiganaji wa RSF wametumia ubakaji kama silaha ya kuwafurusha raia
Ripoti zinasema kuwa, baada ya kupita mwaka mmoja tangu kuanza vita vya ndani vya Sudan Aprili 2023 kati ya jeshi la taifa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), wanawake wamekuwa wahanga wakuu ambapo wamedhulumiwa na haki zao za kibinadamu kukikwa kwa kiwango kibwa. Mkurugenzi wa Kitengo cha Kupambana na Ukatili dhidi ya Wanawake, Salima…
Waniger waandamana kutaka majeshi ya kigeni yaondoke nchini mwao
Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano ya kupinga uwepo wa majeshi ya kigeni nchini Niger, vikiwemo vikosi vya jeshi vya Marekani ambayo ina kambi ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo. Waandamanaji hao wamekusanyika katikati mwa mji mkuu wa Niamey, kuitikia wito wa mashirika ya kiraia yaliyo karibu na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ambao…
kufupishwa kwa mkono wa Magharibi katika nchi ya Niger; Ufaransa ni mwathirika mkubwa wa wimbi hili
Kufuatia kutokea kwa tukio muhimu mnamo Machi 12, maafisa wa Amerika walifanya mkutano katika mji mkuu wa Niger ili kujadili mustakabali wa uhusiano kati ya Amerika na nchi hii ya Kiafrika, na mkutano huu ulifanyika kufuatia kutokea kwa mkutano muhimu. tukio la Machi 12. Kuwepo kwa watu maarufu katika mkutano huo kunaonyesha umuhimu wa uhusiano…
Takriban watu 100 waliuawa wakati meli moja ilipopinduka nchini Msumbiji
Mamlaka ya Msumbiji iliripoti kuwa takriban watu 94, wakiwemo baadhi ya watoto, walifariki baada ya mashua kupinduka kwenye pwani ya kaskazini mwa nchi hiyo. Takriban watu 94 wamekufa na 26 hawajulikani walipo baada ya mashua kupinduka nchini Msumbiji. Lourenco Machado, mkurugenzi wa Utawala wa Bahari wa Msumbiji, alisema kwenye televisheni ya serikali kwamba meli hiyo…
AU yatafuta ufadhili wa kusaidiwa kufikia malengo ya mwaka 2025 ya kuimarisha amani Somalia
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) limetoa mwito wa kupewa ufadhili wa kutosha, endelevu na wa kuaminika kwa ajili ya kufikia malengo yake ya mwaka 2025 baada ya kuondoka Ujumbe wa Mpito wa AU nchini Somalia (ATMIS) mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa ya baraza hilo imesema: “AUPSC inakaribisha pendekezo la serikali…
Comoro imelitaja shambulio la utawala wa Israel kuwa ni kuingilia mamlaka ya kitaifa ya Syria na Iran
Katika taarifa yake, serikali ya Comoro imelaani shambulio la utawala wa Israel siku ya Jumatatu. Amelitaja shambulio hilo kuwa ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, sheria za kimataifa na kuingilia mamlaka ya kitaifa ya Syria na Iran na kuutaka Umoja wa Mataifa kukabiliana na hatua hiyo. Comoro imelitaja shambulio hilo la utawala wa Israel…
Rais wa Senegal amteua Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo
Rais mmpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemteua Ousmane Sonko, kiongozi wa chama cha African Patriots of Senegal for Work, Ethics and Fraternity (PASTEF) kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Hayo yalitangazwa jana Jumanne na Ikulu ya Rais huyo mpya. Kwa hivi sasa Sonko, 49, ni meja wa jiji la…