Kuondolewa kwa kwa ghafla upande mmoja kwa makubaliano ya kijeshi ya Niger na Marekani
Msemaji wa serikali ya mpito ya Niger, Amadou Abdel Rahman, alitangaza kufutwa kwa ghafla upande mmoja wa makubaliano ya kijeshi na Marekani. “Kwa kuzingatia matakwa na maslahi ya watu, serikali ya Niger imeamua kufuta makubaliano kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na wafanyakazi wa kiraia wa Wizara ya Ulinzi nchini Niger.” Hayo yametangazwa na msemaji…
Historia ya mahusiano ya Afrika na Israel
Huku taifa la Israeli likifikisha miaka 70, panda shuka ya uhusiano wake na nchi za Afrika katika miongo kadhaa iliyopita. Hivi majuzi, serikali ya Israeli imeonyesha nia mpya katika bara hilo. Mwishoni mwa miaka ya 1950, Israeli ilikuwa taifa changa lililoibuka wakati huo huo nchi kadhaa za Kiafrika zikipata uhuru kutoka kwa watawala wao wa…
Tinubu Aagiza Maafisa Wafanye Halahala Kuokoa Wanafunzi Waliotekwa Nyara
ABUJA, NIGERIA RAIS wa Nigeria Bola Tinubu ameamuru maafisa wa usalama kutolipa ridhaa kwa ajili ya kuachiliwa kwa zaidi ya wanafunzi 250 wa shule ya msingi waliotekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha wiki iliyopita, Waziri wa Habari amesema Jumatano. Familia za wanafunzi hao zinasema watekaji nyara wanaitisha ridhaa kubwa ili kuwaachilia. Waathiriwa walitekwa nyara…
Vita nchini Sudan; Vita huko Khartoum vilianza tena siku ya kwanza ya Ramadhani
Kwa kupuuza maombi ya kimataifa na ya kieneo ya kusitisha mapigano katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, jeshi na vikosi vya muitikio wa haraka vilipambana vikali katika siku ya kwanza ya mwezi huu mtukufu katika maeneo tofauti ya Khartoum. Mapigano kati ya jeshi na vikosi vya majibu ya haraka yalianza tena siku ya kwanza ya mwezi…
Jeshi la Sudan latupilia mbali usitishaji vita mwezi Ramadhani, lataka RSF iondoke kwenye maeneo ya raia
Jenerali mwandamizi wa Jeshi la Sudan, Yasser al-Atta, amesema hakutakuwa na usitishaji vita nchini Sudan katika mwezi mtukufu wa Ramadhani isipokuwa kundi la wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) litaondoka kwenye makazi na maeneo ya raia. Kauli hiyo inafuatia ombi la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kusitisha mapigano nchini Sudan…
Israel haizingatii uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa
Akigusia kutotekelezwa hukumu ya awali ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu ulazima wa kuzuiwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na kueleza wasiwasi wake kuhusu hali ya mji wa Rafah kusini mwa eneo hilo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Afrika Kusini ilisema kuwa nchi yake imeiomba…
Nigeria yasema itaomba kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Tuggar amesema nchi yake inajipanga kuomba uanachama katika jumuiya ya kiuchumi ya BRICS baada ya mipango muhimu ya uratibu wa ndani ya nchi hiyo kukamilika. Mwanadiplomasia huyo mkuu wa Nigeria ambaye wiki hii alikuwa mjini Moscow, Russia kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Machi 5 hadi…
Guterrez ataka makundi hasimu nchini Sudan yaheshimu Ramadhani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewataka majenerali wa kijeshi nchini Sudan waheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani na ametoa mwito wa kusitishwa mapigano wakati wa mwezi huo mtukufu. Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Guterres amesema: “Ninatoa mwito kwa pande zote nchini Sudan kusitisha vita na kuheshimu maadili…