AFRIKA

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Zimbabwe wameendelea kupiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Harare kupinga siasa za vikwazo za dola hilo la kiistikbari na wamesema kuwa, hawataondoka kwenye kambi hiyo madipale Marekani itakapofuta vikwazo vyake dhidi ya Zimbabwe. Sally Ngoni, msemaji wa Muungano wa Broad Alliance Against Sanctions, ambao umepiga kambi mbele…

Watu 170 wauawa mashambulizi Burkina Faso

Watu 170 wauawa mashambulizi Burkina Faso

TAKRIBANI watu 170 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi dhidi ya vijiji vitatu nchini Burkina Faso, mwendesha mashtaka wa umma anasema. Aly Benjamin Coulibaly aliomba mashahidi kusaidia kupawata waliowashambulia vijiji vya Komsilga, Nordin na Soro. Coulibaly alisema alikuwa ameanzisha uchunguzi kuhusu mashambulizi ya kijiji kimoja katika jimbo la Yatenga Februari 25, 2024. Haikujulikana ni kundi…

Khartum: Hatuna pingamizi kwa kanuni ya kujenga Kituo cha Urusi katika Bahari Nyekundu

Khartum: Hatuna pingamizi kwa kanuni ya kujenga Kituo cha Urusi katika Bahari Nyekundu

Khartum ilitangaza kuwa haina pingamizi kwa kanuni ya ujenzi wa kituo cha jeshi la wanamaji la Urusi nchini Sudan, na suala hili linapaswa kuidhinishwa katika bunge jipya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Ali Sadegh Ali alisema kuwa mamlaka ya Sudan haina pingamizi lolote kwa ujenzi wa kituo cha jeshi la wanamaji la Urusi…

Sudan karibuni itakumbwa na janga kubwa la njaa

Sudan karibuni itakumbwa na janga kubwa la njaa

Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo umetahadharisha kuwa vita vya Sudan vilivyodumu kwa takriban miezi 11 kati ya majenerali hasimu vinahatarisha nchi hiyo kuathiriwa na janga kubwa la njaa. Cindy McCain Mkurugenzi Mtendaji wa WFP ameeleza kuwa mamilioni ya maisha ya watu na amani na uthabiti wa eneo zima vinakabiliwa na hatari hivi sasa. Amesema,…

Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa 11 wa Zimbabwe na mashirika matatu

Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa 11 wa Zimbabwe na mashirika matatu

Marekani ilitangaza vikwazo dhidi ya maafisa wa Zimbabwe, akiwemo rais wa nchi hii na mkewe na naibu wake. Idara ya Hazina ya Marekani ilitangaza siku ya Jumatatu kuweka vikwazo dhidi ya Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa, Auxilia Mnangagwa, mkewe, Makamu wa Rais wa Zimbabwe Constantino Chiyonga, na maafisa wengine wanane wakuu. “Ofisi ya Udhibiti wa…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda akosoa kushindwa jamii ya kimataifa kutatua mgogoro wa Gaza

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda akosoa kushindwa jamii ya kimataifa kutatua mgogoro wa Gaza

Jeje Odongo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema anasikitishwa sana na kushindwa jamii ya kimataifa katika kutatua mgogoro wa Gaza wakati huu ambapo utawala haramu wa Israel unatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo. Akizungumza na Shirika la Habari la Anadolu katika Kongamano la Diplomasia la Antalya, Odongo ameelezea masikitiko…

Afisa wa Afrika Kusini: Nchi za Magharibi hazipasi kuzungumza kuhusu ‘haki za binadamu’

Afisa wa Afrika Kusini: Nchi za Magharibi hazipasi kuzungumza kuhusu ‘haki za binadamu’

Mohamed Faizal Dawjee, Mshauri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Zamani wa Vyombo vya Habari wa serikali ya Afrika Kusini amelaani msimamo wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Israel dhidi ya Gaza, na kusema  nchi za Magharibi “zimeshiriki katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina.” Dawjee amesema katika Jukwaa la Diplomasia huko Antalya nchini Uturuki kwamba…

Sudan yakanusha madai ya gazeti la Marekani kuhusu kituo cha jeshi la wanamaji la Iran

Sudan yakanusha madai ya gazeti la Marekani kuhusu kituo cha jeshi la wanamaji la Iran

Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amepinga madai ya Wall Street Journal kuhusu ombi la Tehran kwa Khartoum kujenga kituo cha jeshi la majini la Iran na kutangaza kuwa ni huo ni uzushi. Kwa mujibu wa ripoti hii, Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Ali Sadiq Ali alijibu madai ya Wall Street Journal…