AFRIKA

Mkuu wa AU atoa mwito wa kusitishwa vita Ukanda wa Gaza

Mkuu wa AU atoa mwito wa kusitishwa vita Ukanda wa Gaza

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena ametoa mwito wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza kwa misingi ya ubinadamu. Moussa Fakki Mahamat, Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU alitoa mwito huo jana Jumanne katika hotuba yake mbele ya Bunge la Nchi za Afrika na kuongeza kuwa, Wapalestina wasio na hatia ndio…

Tanzania, Kenya zakubali kusuluhisha mzozo wa usafiri wa anga katika kipindi cha siku tatu

Tanzania, Kenya zakubali kusuluhisha mzozo wa usafiri wa anga katika kipindi cha siku tatu

Tanzania na Kenya zimekubaliana kutatua vikwazo vya usafiri wa anga kati ya nchi hizo mbili ndani ya siku tatu zijazo, Hayo yalisema jana Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, January Makamba. Makamba amesema kuwa, amefanya mazungumzo na Musalia Mudavadi, Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wa Kenya…

Nahodha wa Timu ya Kriketi ya Afrika Kusini avuliwa daraja baada ya kuunga mkono jinai za Israel

Nahodha wa Timu ya Kriketi ya Afrika Kusini avuliwa daraja baada ya kuunga mkono jinai za Israel

Afrika Kusini imemvua David Teeger majukumu yake kama nahodha wa Kombe la Dunia lijalo la Kriketi kufuatia matamshi yake ya kuunga mkono jinai za utawala haramu wa Israel. Siku ya Ijumaa, Shirikisho la Kriketi ya Afrika Kusini (CSA) ilitangaza uamuzi wa kumshusha cheo Teeger kama Nahodha wa timu ya Afrika Kusini ya chini ya umri…

Somalia yaionya Ethiopia: Msikiuke mamlaka ya ardhi yetu

Somalia yaionya Ethiopia: Msikiuke mamlaka ya ardhi yetu

Waziri Mkuu wa Somalia ametaka kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo, wiki mbili baada ya kusainiwa mapatano baina ya Ethiopia na Somaliland yatakayoiwezesha Ethiopia kutumia Bandari ya Berbera ya Somalia iliyoko katika eneo hilo la Somaliland. Hamza Abdi Barre alionya jana Jumapili kuwa, Ethiopia inaingilia mamlaka ya kujitawala Somalia…

Uwepo wa Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki – Kenya

Uwepo wa Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki – Kenya

Athari za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika hususan katika nchi za Kiislamu za bara hili ni suala ambalo linaukabili ulimwengu wa Kiislamu wenye changamoto katika kipindi kirefu. Wazayuni wanafuata hatua za uongozi katika maeneo hayo, kwa kuzidisha ushawishi wa kijeshi na wa kiuchumi hadi kusababisha mgawanyiko katika ardhi hizi za Kiislamu katika bara…

Afrika, dunia iko Ivory Coast

Afrika, dunia iko Ivory Coast

AFRIKA, Dunia kwa mwezi mmoja itakuwa Abdijan kushuhudia mashindano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) huko Ivory Coast. Washindi mara mbili wa michuano hiyo, Ivory Coast leo watakuwa dimba la Rais Alassane Ouattara maarufu ‘Olympic Stadium of Ebimpé’ dhidi ya Guinea Bissau kuanza kampeni za kuchukua kwa mara ya tatu. Kundi A,…

Afrika Kusini: Israel imeshindwa kwa namna ya kuaibisha katika Mahakama ya ICJ

Afrika Kusini: Israel imeshindwa kwa namna ya kuaibisha katika Mahakama ya ICJ

Waziri wa Sheria wa Afrika Kusini amesema baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukamilisha utetezi wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki kwamba: utawala wa Israel umeshindwa kwa namna ya kuaibisha katika mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Ronald Lamola amesema: Israel imeshindwa “kwa namna ya kuaibisha”…

Maelfu waandamana Ghana kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza

Maelfu waandamana Ghana kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza

Ripoti kutoka Ghana zinasema, maelfu ya raia walijitokeza katika mitaa ya mji wa Kumasi katika maandamano ya kuunga mkono Palestina nchini humo ambapo sambamba na kutangaza mshikamano wao na watu wa Gaza wamelaani pia mauaji ya kimbari ya utawala bandia wa Israel. Vijana wa kiume na wa kike wakiwemo watoto katika mji wa Kumasi wafuasi…