Nigeria; Mshirika mkubwa wa kibiashara wa utawala wa Kizayuni kutoka Bara la Afrika
Nigeria imekuwa na uhusiano mzuri na utawala wa Kizayuni toka siku za awali, ingawaje mahusiano hayo yamekuwa yakidorora tangu kuapishwa kwa rais mstaafu wa Nigeria, Bw. Muhammad Bukhari, mnamo mwaka 2015. Ingawa Nigeria imekuwa na uhusiano mzuri na utawala wa Kizayuni siku za nyuma, mahusiano hayo yamekuwa na matatizo madogo tangu kuapishwa kwa rais wa…
Ramaphosa: Ni fakhari kwa Afrika Kusini kufungua kesi dhidi ya Israel huko ICJ
Rais wa Afrika Kusini amesema kwamba amefurahishwa na jinsi timu ya wanasheria wa nchi yake ilivyojadili kesi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kwamba ni fakhari kwa nchi yake kufungua kesi hiyo dhidi ya Israel….
Dk Mwinyi adhamiria kumaliza changamoto katika elimu
ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na kubakisha zamu moja. Rais Mwinyi amesema leo Januari 9,2024 akifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliopo Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60…
Malengo ya Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki / Umuhimu wa Eritrea katika Bahari Nyekundu
Eneo la kijiografia la Eritrea limesababisha nchi hiyo kuwa chini ya hatua za kutawaliwa na wakoloni katika kihistoria. Eneo la kijiografia la Eritrea limesababisha watu wake kutawaliwa na wakoloni katika historia yote. Nchi hii inapakana na Djibouti katika eneo la kusini-mashariki, na mwisho wake ni Mlango wa kimkakati wa Bab al-Mandeb, ambao umeunganishwa na Bahari…
Nigeria: Rais Tinubu amfuta kazi waziri wake huku ajali za barabarani zikizidi kuwauwa watu
Stephen Dawulung, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Serikali ya Shirikisho la Nigeria huko Kwara, akiwaambia hayo waandishi wa habari na kuongeza kuwa, kwa uchache watu 10 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo iliyotokea kwenye barabara ya Moro ya na kijiji hicho cha Kwara cha kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo lilitokea kutokana…
Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani
Kumbukumbu za kutimia mwaka wa nne tangu kuuliwa shahidi Luteni jenerali Shahidi Qassim Suleiman zimefanyika katika miji mikuu ya Nigeria na Ghana yaani huko Abuja na Accra kwa kuhudhuriwa na Waislamau wa matabaka mbalimbali na wafuasi wa kamanda huyo. Luteni Jenerali Qassim Suleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi…
Israel inasubiri matokeo hasi kutoka katika Mahakama ya The Hague
Vyombo vya habari vya Kiebrania vilielezea hali ya Tel Aviv kuwa “ngumu” kabla ya mkutano wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kushughulikia mauaji ya kimbari yaliyofanyika mjini Gaza na kutaja kua matokeo ya maamuzi ya The Hague kuhusiana na suala hilo kuwa ni mabaya. Haaretz iliripoti kwamba uamuzi wowote wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki,…
Mvua kubwa yaathiri mamia nchini DRC Congo, 300 wafariki dunia
Waziri Modeste Mutinga Mutuishayi alitoa taarifa hiyo wakati wa mkutano wa kutathmini mgogoro huo wa kimaumbile na kuongeza kuwa, takriban nyumba 43,750 zimebomoka. Pia alionya juu ya hatari ya kuzuka majanga mengine mbalimbali ya kiafya kutokana na ukosefu wa vyoo na maji safi. Waziri huyo ametoa wito kwa serikali ya Kongo kutoa fedha haraka za…