AFRIKA

Rais Ruto wa Kenya: Sitaruhusu mahakama kukwamisha miradi yangu

Rais Ruto wa Kenya: Sitaruhusu mahakama kukwamisha miradi yangu

Rais Ruto aliyasema hayo jana Jumanne, akiwa katika Kaunti ya Nyandarua huku akiwajia juu maafisa wa mahakama ambao amesema kazi yao ni kusimamisha miradi kupitia ilani za mahakama. “Ninaheshimu uhuru wa mahakama, lakini kile sitakubali na naapa kukisimamisha ni utundu, ukiritimba na ufisadi wa wachache ndani ya idara hiyo kwa kuwa walio na uwezo kwa mujibu…

Ufaransa yafunga kwa muda ubalozi wake nchini Niger

Ufaransa yafunga kwa muda ubalozi wake nchini Niger

Paris Jumanne ya jana ilitangaza kufunga ubalozi wake huko Niamey, mji mkuu wa Niger, na hivyo kuthibitisha mipango iliyoripotiwa hapo awali, baada ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili kuzorota kufuatia mapinduzi ya kijeshi katika nchi hiyo ya Kiafrika mwezi Julai 2023. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa amesema katika taarifa: Kwa…

Utawala wa Kizayuni na Afrika Mashariki

Utawala wa Kizayuni na Afrika Mashariki

Faraan: Utawala wa Kizayuni umekua ukiangazia maslahi yake katika eneo la Afrika Mashariki kabla ya kuasisiwa kwa utawala wa Jerusalem unaokaliwa kwa mabavu, na wananadharia wa Kizayuni walizichukulia Uganda na Kenya kuwa nchi teule kwa ajili ya ukusanyaji wa Mayahudi waliokimbia makazi yao duniani. Maslahi ya utawala wa Kizayuni katika eneo la Afrika Mashariki yalikuwa…

Mpango wa Israeli wa kuiondoa UN kutoka mji wa Gaza

Mpango wa Israeli wa kuiondoa UN kutoka mji wa Gaza

Mtandao wa Israeli uliripoti kwamba baraza la mawaziri la Netanyahu linapanga njama ya kisiri ya kuliondoa shirika la usaidizi nchini Palestina (UNRWA) kutoka mjini Gaza. Wizara ya Mambo ya nje ya Israeli imepanga kuwasilisha mpango wa kuiondoa (UNRWA) nchini Palestina, ilisema Wizara ya Mambo ya nje ya Israeli leo hii (Januari 2). Kulingana na mtandao,…

Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina yapokea kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mahakam ya ‘The Hague’

Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina yapokea kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mahakam ya ‘The Hague’

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imekaribisha hatua ya Jamhuri ya Afrika Kusini ya kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kutekeleza jinai ya mauaji ya halaiki katika Mahakama ya ‘Hague’. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Palestina (Wafa), Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina ilitoa taarifa na kutangaza: Israel…

Sababu na mbinu za ushawishi laini za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika na ukanda wa Afrika Mashariki

Sababu na mbinu za ushawishi laini za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika na ukanda wa Afrika Mashariki

Bara Jeusi ni moja ya maeneo yenye maslahi kwa utawala wa Kizayuni wenye nafasi maalum katika siasa za nje ya utawala huu ghasibu, na utawala wa Kizayuni umefanya jitihada katika kuchukua fursa ya matatizo ya kiuchumi yaliyopo katika bara hili kwa ajili ya kusambaza ushawishi wake ndani ya bara hili chini ya nembo ya misaada…

Ripoti: Mafanikio madogo ya walinda amani wa UN barani Afrika mwaka 2023

Ripoti: Mafanikio madogo ya walinda amani wa UN barani Afrika mwaka 2023

Nchini Jamhuri ya Kiidemokrasia ya Congo, walinda amanii walipambana na raia na kulazimika kuondoka katika nchi hiyo. Na pia hiyo sio nchi pekee ya Kiafrika wanayoondoka. Ripotii zinasema kuwa, jumbe za kulinda amani za Umoja wa Mataifa zimepambana mwaka 2023 kuwalinda raia na kupata mafanikio madogo katika kuleta utulivu katika nchi wanazoendesha shughuli zao hasa barani…

Uganda: Jeshi letu limemuua kiongozi wa waasi wa ADF katika shambulizi la hivi karibuni

Uganda: Jeshi letu limemuua kiongozi wa waasi wa ADF katika shambulizi la hivi karibuni

Msemaji wa Jeshi la Uganda, Kanali Deo Akiiki ametangaza habari hiyo na kumtaja kiongozi huyo wa waasi kwa jina la Musa Kamusi. Hayo yamo kwenye taarifa ya jana Jumatano ya Kanali Akiiki. Amesema: “Wanajeshi wetu waliokuwa wakiwawinda waasi wa ADF katika Hifadhi ya Kitaifa ya Kibale wamefanikiwa kumuua mmoja wa viongozi wa ADF ambaye amekuwa…