AFRIKA

Kilimo umwagiliaji kukabili mabadiliko tabianchi

Kilimo umwagiliaji kukabili mabadiliko tabianchi

KIASI cha Sh milioni 450 kimetumika ili kufanikisha majaribio ya kilimo cha umwagiliaji katika mikoa ya Manyara,Iringa, Dodoma,Songwe na Njombe ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya kuboresha mifumo ya masoko ya kilimo Tanzania (AMDT), Charles Ogutu alisema kiasi cha fedha kilichotengwa ni Sh milioni 600 huku wakitarajia kwenda mikoa mingine zaidi….

Mafuriko yauwa watu 22 Dr Congo

Mafuriko yauwa watu 22 Dr Congo

MFAURIKO yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati mwa DR Congo yamesababisha vifo vya takriban watu 22, wakiwemo 10 wa familia moja, afisa wa eneo hilo alisema. Mvua iliyonyesha kwa saa moja katika Wilaya ya Kananga jimbo la Kasai ya Kati iliharibu nyumba na majengo mengi, gavana wa jimbo hilo, John Kabeya, alisema huku juhudi za uokoaji…

Umoja wa mabalozi Afrika wawafiriji Hanang

Umoja wa mabalozi Afrika wawafiriji Hanang

DAR ES SALAAM: Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh wilayani Hanang Mkoa wa Manyara. Akikabidhi msaada huo kwa Serikali, Kiongozi wa Mabalozi hao na…

Krismasi Ya Masaibu

Krismasi Ya Masaibu

WAKENYA wameungana na ulimwengu kuadhimisha Sikukuu ya Krisimasi mnamo Desemba 25, 2023, huku maelfu wakiwa kwenye kambi kutokana na athari za mvua ya El-Nino. Wakazi katika kaunti za Tana River, Meru, Taita Taveta, Kwale, Lamu, Isiolo kati ya maeneo mengine, wanateseka kwenye baridi, kung’atwa na mbu na kukosa maji safi na chakula. Isipokuwa tu kaunti…

Makubaliano ya karne na athari zake katika uhusiano kati ya Afrika na utawala wa Kizayuni

Makubaliano ya karne na athari zake katika uhusiano kati ya Afrika na utawala wa Kizayuni

Mkutano wa 33 wa Umoja wa Afrika (20 na 21 Februari 2019) wenye kauli mbiu “kuzima bunduki, kuweka mazingira mazuri kwa maendeleo ya Afrika” kwa lengo la kupunguza mivutano barani Afrika na kufikia maendeleo katika bara hili, ilifanyika Addis Ababa. , mji mkuu wa Ethiopia, ilimalizika wakati wakuu wa umoja huu walitangaza mshikamano wao kamili…

Ayatullah Ramezani: Sheikh Zakzaky ni mfano halisi wa mujahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu

Ayatullah Ramezani: Sheikh Zakzaky ni mfano halisi wa mujahidi katika njia ya Mwenyezi Mungu

Ayatullah Reza Ramezani, akielezea kufurahishwa kwake na kukutana na Sheikh Ibrahim Zakzaky na akizungumzia siku ambazo alikabiliwa na hujuma zisizo za kiutu na zilizo mbali na urijali na kufungwa jela, amemtaja Sheikh Zakzaky kuwa “mwanamageuzi wa kifungoni“. Huku akithamini juhudi za Sheikh Zakzaky nchini Nigeria za kueneza utamaduni wa Kishia, Ayatullah Ramezani amesisitiza kuuwa, Sheikh…

Uganda inaongoza kwa kuvutia uwekezaji wa kigeni Afrika Mashariki

Uganda inaongoza kwa kuvutia uwekezaji wa kigeni Afrika Mashariki

Ripoti ya hivi punde ya uwekezaji ya kampuni ya ushauri ya biashara ya Ernst & Young inaonyesha kuwa Uganda ilirekodi kiwango cha juu cha uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni ambapo ilivutia dola bilioni 10.2 – ambacho ni kiwango cha juu zaidi katika Afrika Mashariki – na kubuni nafasi za kazi 6,300. Uwekezaji wa…

Makumi ya magaidi wa al Shabaab waangamizwa Somalia

Makumi ya magaidi wa al Shabaab waangamizwa Somalia

Shirika la habari la Farsi limeripoti kuwa, Wizara ya Ulinzi ya Somalia jana Jumapili imetangaza kuwa katika siku tatu zilizopita jeshi la nchi hiyo limekomboa sehemu kubwa ya ardhi zilizokuwa zinashikiliwa na kundi la kigaidi la al Shabaab  lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaida. Ripoti ya Wizara ya Ulinzi ya Somalia imeeleza kuwa…