Daniel Moi Alikuwa Kisiki Lakini Tulimng’oa Raila Odinga Amwambia William Ruto
Raila Odinga anasema Wakenya hawataketi nyuma huku Rais William Ruto akidaiwa kusimamia vibaya nchi. Alitoa mfano kutoka kwa utawala wa rais wa zamani marehemu Daniel Moi, ambaye enzi yake ilidumu kwa zaidi ya miongo miwili, ambayo alisema ilishindwa. Waziri mkuu huyo wa zamani, ambaye pia ni kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, alisikitika kwamba…
Rwanda kutengeneza chanjo ya Uviko-19
Muktasari: Kampuni ya chanjo za Uviko-19 ya BioNtech inatarajia kuanza kutengeza chanjo kwenye kiwanda chake cha mRNA kilichopo nchini Rwanda ifikapo mwaka 2025.
Rais wa Afrika Kusini: Mauaji ya halaiki yanaendelea mjini Gaza
Rais wa Afrika Kusini alisema kuwa watoto na wanawake wanauawa bila huruma katika mji wa Gaza, akisema kuwa hilo linapaswa kuwa wasiwasi wa kila mmoja duniani. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alitaja vita vinavyoendelea huko Gaza na kutoa wito wa kusitishwa kwa kudumu kwa mapigano. Alisema katika mkutano na waandishi wa habari uliohudhuriwa na…
Umoja wa Mataifa – Mafuriko makubwa mashariki mwa Afrika tishio kwa uhakika wa chakula – WFP
Mafuriko makubwa mashariki mwa Afrika tishio kwa uhakika wa chakula – WFP Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuleta maafa katika eneo la Mashariki mwa Afrika, eneo ambalo lina uchangiaji mdogo katika uzalishaji wa hewa chafuzi lakini likiwa eneo ambalo linabeba mzigo mkubwa wa dharura ya tabanchi duniani. Baada ya ukame mkali kati ya mwaka 2020 na…
Tanzania yauza tani 600 za bidhaa eneo huru la biashara Afrika
Muktasari: Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA), umeanza kuzaa matunda baada ya kampuni nane za Kitanzania kupeleka bidhaa katika mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mvutano waongezeka huku uchaguzi ukikaribia Congo DR
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inajiandaa kwa ajili ya uchaguzi Jumatano ambao ima utaimarisha demokrasia yake au kuzua ghasia mpya huku mivutano ya kisiasa ikiongezeka na kutishia amani na usalama wa nchi hiyo. Takriban wapiga kura milioni 44 waliojiandikisha wanatazamiwa kupiga kura mnamo Desemba 20 katika taifa hilo kubwa la Afrika ya kati lenye takriban watu…
Vita vya Israel na Palestina vimezua mgawanyiko kati ya nchi za Kiafrika
Baadhi ya nchi za Kiafrika zinaunga mkono Palestina na zingine zinaunga mkono nchi ya Israel. Nchi za Kiafrika ziligawanywa katika makundi mawili katika suala la uungaji mkono wa pande mbili katika mzozo wa Israel na Palestina. Wakati nchi za Afrika zilizomo Kusini mwa Jangwa la Sahara, Afrika Kusini, Sudan, Djibouti na nchi za Afrika Kaskazini…
RAIS DK. MWINYI AZURU KABURI LA MAREHEMU RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR IDRISSA ABDULWAKIL
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Familia ya Marehemu Rais Mstaaf wa Zanzibar Idrissa Abdulwakili katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, iliyofanyika katika kaburi la marehemu Kijijini kwao Makunduchi, wakati wa ziara yake katika…