Ushawishi wa utawala wa Kizayuni barani Afrika / upande wa pili wa ukoloni katika Bara hili jeusi
Harakati za kidiplomasia za Wazayuni nchini Eritrea na Ethiopia zimeshadidi huku wakifanya juhudi za kuandaa vituo katika eneo hili. Jambo ambalo kwamba linadhihirisha uwepo wa mipango ya Tel Aviv ya kuzitumia njia za biashara za baharini katika eneo hilo na kutengeza nafasi ya kupanua wigo wa ushindani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Kundi…
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS yaitambua rasmi serikali ya Niger
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imeitambua rasmi serikali mpya ya Niger ikiwa ni katika kulegeza misimamo yake ya kisiasa na kiuchumi kuhusiana na nchi hiyo. Omar Alieu Touray Mkuu wa Tume ya ECOWAS, amesema katika mkutano wa jumuiya hiyo huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria kwamba timu ya wakuu wa nchi…
Jamhuri 2023: Mudavadi Akaribisha Wageni Ikulu Ya Rais Badala Ya Gachagua
ITIFAKI za urais (presidency) wakati wa maadhimisho ya Jamhuri Dei 2023 zilionekana kukiukwa kutokana na jinsi viongozi wakuu serikalini walivyoondoka Bustani ya Uhuru, Nairobi. Kama ilivyo desturi, baada ya kiongozi wa nchi kuhutubu, huondoka rasmi kisha anafuatwa na mkewe – mama wa taifa, halafu naibu wake. Rais William Ruto alipohitimisha hotuba yake kwa taifa, alifuatwa…
Kenya yaadhimisha miaka 60 ya Uhuru
Taifa la Kenya leo linaadhimisha miaka 60 ya kujitawala baada ya miongo kadhaa ya mapambano yaliyopelekea kujinyakulia uhuru na kutimuliwa mkoloni Muingereza nchini humo mnamo mwaka 1963. Idadi ya watu wa Kenya wakati wa Uhuru ilikuwa milioni 8.6 tu. Leo, idadi ya watu inakadiriwa kuwa karibu milioni 53. Miaka 60 tangu kupata uhuru, Kenya sio…
Kwa nini mapambano ya Wapalestina ni muhimu kwa Waafrika
Mwandishi: Yahya Habil Ni muhimu kuelewa kwamba sababu ya Palestina sio tu sababu ya Kiarabu – ni sababu ya kibinadamu Huku idadi ya waliofariki ikiongezeka huku Israel ikishambulia kwa mabomu huko Gaza, na huku ulimwengu ukiendelea kushuhudia udhalilishaji wa Wapalestina, Waafrika wanapaswa kuchukua hatua na kutafakari nini maana ya vita hivyo vya WaPalestina kwao….
ODM Yaanza Kufuta Nyayo Za UDA Nyanza
CHAMA cha ODM kimeanza kuwakusanya wafuasi wake kukabili uvamizi wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika Kaunti ya Homa Bay. ODM imewaagiza wafuasi wake katika kaunti hiyo kuhakikisha wametumia kila mbinu kuhakikisha wamedhibiti mafanikio ambayo UDA imepata katika eneo hilo kwa miezi michache iliyopita. Hatua hiyo ni sehemu ya mikakati ya kupunguza juhudi za…
Mashirika Afrika yatoa hoja tano uwezeshaji nishati mbadala COP28
MASHIRIKA ya Kiraia ya Afrika (CSOs) yametoa tamko lenye hoja tano kuhusu malengo ya nishati mbadala kwa Afrika katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi(28) unaoendelea Dubai,Falme za Kiarabu. Moja ya vipaumbele vya Afŕika katika COP28 ilikuwa kupata mikataba ambayo ingewekeza mara tatu katika nishati mbadala katika bara baada ya Mkutano wa Kilele…
Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050
RAIS Samia Suluhu amewataka Wananchi wote pamoja na wale wanaoishi Ughaibuni (DIASPORA) kushiriki kikamilifu katika uandishi wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kiongozi huyo wa nchi amesema hayo leo katika sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa…