AFRIKA

Chanjo ya Malaria kusambazwa pakubwa barani Afrika

Chanjo ya Malaria kusambazwa pakubwa barani Afrika

Umoja wa Mataifa umetangaza kuhusu mpango wa kuongezwa chanjo za malaria zitakazotolewa kote barani Afrika baada ya shehena ya kwanza ya dozi kuwasili Cameroon. Tokea mwaka wa 2019, zaidi ya watoto milioni mbili wamepatiwa chanjo ya kujikinga na ugonjwa wa malaria huko Ghana, Kenya na Malawi katika awamu ya majaribio, na kusababisha kupungua kwa ugonjwa…

LHRC: Wafungwa na walio nje Tanzania waruhusiwe kushiriki uchaguzi

LHRC: Wafungwa na walio nje Tanzania waruhusiwe kushiriki uchaguzi

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimeibua kile kilichoyaita kuwa mapungufu katika miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa. Katika mapendekezo yake, kituo hicho kinataka sheria za uchaguzi zijumuishe wafungwa kupiga kura katika uchaguzi wa rais na wabunge huku kikisisitiza kupatikana kwa katiba mpya. Muswada wa sheria ya…

Tanzania na Romania zatiliana saini hati kadhaa za ushirikiano, wasomi waonyesha matumaini

Tanzania na Romania zatiliana saini hati kadhaa za ushirikiano, wasomi waonyesha matumaini

Wasomi nchini Tanzania wamesema kuuwa, wana matumaini ushirikiano kati ya taifa hilo na taifa la Romania utaongeza na kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo iwapo makubaliano yaliyotiwa Saini baina ya mataifa hayo yatatekelezwa kikamilifu. Hayo yamelezwa kufuatia Marais wa mataifa hayo mawili, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgeni…

Afrika Kusini imetaka kutiwa mbaroni Netanyahu kwa tuhuma za maangamizi ya kizazi

Afrika Kusini imetaka kutiwa mbaroni Netanyahu kwa tuhuma za maangamizi ya kizazi

Afrika Kusini imetoa radiamali kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na kuitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala huo kwa tuhuma za maangamizi ya kizazi. Khumbudzo Ntshavheni, Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Teknolojia za Kidijitali wa Afrika Kusini jana alieleza kuwa: Balozi wa…

Rais Hassan Sheikh Mohamud: Wasomali wanataabika na njaa baada ya janga la mafuriko

Rais Hassan Sheikh Mohamud: Wasomali wanataabika na njaa baada ya janga la mafuriko

Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo hivi sasa wanakabiliwa na baa la njaa baada ya mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Rais huyo wa Somalia amenukuliwa akisema, watu wamekimbia makazi yao, nyumba na mali zimeharibiwa, watu wana njaa, na hilo ndilo tatizo letu hivi sasa, hilo ndilo…

Mahakama: Ni kinyume cha sheria kwa UK kuwapeleka Rwanda watafuta hifadhi

Mahakama: Ni kinyume cha sheria kwa UK kuwapeleka Rwanda watafuta hifadhi

Mahakama ya Juu ya Uingereza imesema mpango wa serikali ya London wa kuwapeleka nchini Rwanda wakimbizi na waomba hifadhi walioko nchini humo unakiuka sheria. Mahakama hiyo imetoa uamuzi huo leo Jumatano ikisisitiza kuwa, mpango huo unawaweka katika hali hatarishi wakimbizi hao, hasa kwa kuzingatia kuwa baadhi yao waliikimbia nchi yao ya Rwanda na kuwarejesha huko…

Rais wa Liberia na mpinzani wake Boakai wakutana tena katika duru ya pili ya urais

Rais wa Liberia na mpinzani wake Boakai wakutana tena katika duru ya pili ya urais

Wananchi wa Liberia wanapiga kura leo Jumanne katika duru ya pili ya uchaguzi kati ya Rais George Weah na Makamu wa Rais wa zamani Joseph Boakai baada ya mchuano mkali wa duru ya kwanza ambapo hakuna aliyeweza kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura. Mwanasoka mashuhuri George Weah, 57, aliongoza kwenye duru ya kwanza ya…

Zaidi ya wakimbizi 1,000 waingia Uganda kukimbia mashambulizi ya hivi karibuni DRC

Zaidi ya wakimbizi 1,000 waingia Uganda kukimbia mashambulizi ya hivi karibuni DRC

Zaidi ya wakimbizi 1,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamekimbilia Uganda kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya waasi wanaoshukiwa kuwa wa Allied Democratic Forces (ADF). Shirika la Msalaba Mwekundu la Uganda (URCS) kimetangaza habari hiyio na kuongeza kuwa, wakimbizi hao wameingia Uganda kupitia wilaya ya mpakani ya Bundibugyo ya Mkoa wa Magharibi wa Uganda….