Shirika la misaada la kimataifa lawaunganisha watoto 7,000 na familia zao Sudan Kusini
Shirika la kimataifa la Save the Children na washirika wake wamesema kuwa, wameunganisha watoto 7,000 na familia zao tangu 2017, na kuwawezesha kujenga upya maisha yao baada ya kutenganishwa na migogoro. Shirika hilo la hisani limesema hayo katika taarifa yake kuwa limekuwa likitumia jukwaa la programu huria linalojulikana kama Child Protection Information Management System Plus…
Rais wa Afrika Kusini atangaza mshikamano na Wapalestina mbele mashambulizi ya Israel
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mshikamano wake na Wapalestina mbele ya jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya Wapalestina hao wasio na ulinzi. Akiwa amevaa skafu ya Palestina, Rais Ramaphosa amesema: “Njia kuu ya kushughulikia mgogoro wa Palestina ni kuheshimishwa sheria na maazimio ya kimataifa likiwemo suala la kutangaazwa nchi huru…
Gabon yatangaza Baraza la Mawaziri, mwanamke apewa wizara ya ulinzi
Serikali ya mpito ya Gabon imetangaza Baraza jipya la Mawaziri, na kumteua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi. Hayo yanajiri wiki moja tu, baada ya Jenerali Brice Oligui Nguema, ambaye aliongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyoung’oa madarakani utawala wa makumi ya miaka wa familia ya Bongo, kuapishwa Jumatatu iliyopita kuwa “rais wa serikali ya mpito” ya Gabon. Taarifa…
Dhirisho la Umoja katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussain AS nchini Kenya
Maombolezi ya Arubaini ya Imam Husseini (AS) huko Nairobi, Kenya, yamefanyika kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa madhehebu za shia na Suni. Kwa mujibu wa ripoti ya Iranpress, maombelezo ya Arubaini ya kuuwawa shahidi Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS) na wafuasi wake yamefanyika kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni wapenzi…
Licha ya kuwepo uhusiano, Morocco yakataa misaada ya Israel kwa waathirika wa tetemeko la ardhi
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Morocco imetoa jibu rasmi la kukataa tangazo la utayarifu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea nchini humo. Kufuatia tetemeko kubwa la ardhi la 7.20 katika kipimo cha Rishta lililotokea nchini Morocco usiku…
Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani
Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani “Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia.” Kwa mujibu wa ripoti hiyo, takriban watu milioni 110 duniani kote wamelazimika kuacha nyumba na maeneo yao kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo vita na migogoro ya ndani. Katika mazingira…
Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika
Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika. Raisi aliyasema hayo katika mkutano wake wa Alhamisi na Rais mwenzake wa Senegal, Macky Sall kando ya mkutano wa…
Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la Iran Press, Joshua Gatimu, Balozi wa Kenya nchini Iran alizitembelea kampuni hizo za uzalishaji yakiwemo mashirika ya kuzalisha dawa jijini Arak…