AFRIKA

Hasira za Cairo ziliifanya Tel Aviv kuamua kuwaachilia huru wafungwa wa Kipalestina

Hasira za Cairo ziliifanya Tel Aviv kuamua kuwaachilia huru wafungwa wa Kipalestina

Mtaalamu wa masuala ya Kizayuni amesema kuwa, uamuzi wa kumuachilia huru Khalil Awadeh ambaye ni mfungwa wa Kipalestina ulifanywa na Waziri Mkuu na Waziri wa Vita wa utawala huo ghasibu wa Kizayuni. Yoni Ben Menahim, mtaalamu wa masuala ya Kiarabu katika utawala wa Kizayuni amesema kuwa, uamuzi wa kumuachilia huru mfungwa wa Kipalestina Khalil Awadeh…

Mbunge wa Libya: Uingereza inampango wa kupora mafuta na gesi kutoka kwetu

Mbunge wa Libya: Uingereza inampango wa kupora mafuta na gesi kutoka kwetu

Kufuatia mzozo wa nchi za Ulaya katika sekta ya mafuta, Uingereza ilihamia Libya kupora mafuta na gesi, na meli yake ya kwanza iliingia nchini humo hivi baada ya miaka minane. Meli ya Kiingereza ilitia nanga katika bandari ya Tripoli Jumatano iliyopita; Kitendo ambacho kilipingwa vikali na wananchi na wabunge wa Bunge la Libya. Ubalozi wa…

Kiongozi wa mapinduzi ya Burkina Faso anakubali kujiuzulu kwa masharti ya rais aliyeondolewa madarakani

Kiongozi wa mapinduzi ya Burkina Faso anakubali kujiuzulu kwa masharti ya rais aliyeondolewa madarakani

Kiongozi mpya wa mapinduzi ya Burkina Faso, ambaye alitoa taarifa siku ya Ijumaa usiku kutangaza kuvunjwa kwa serikali ya kijeshi ya nchi hiyo na kufutwa kazi kwa kiongozi wa serikali hii, Paul Henri Demiba, amekubali kujiuzulu kwa masharti. Shirika la habari la Reuters limewanukuu viongozi wa kidini na kimila wa Burkina Faso wakisema kuwa Ibrahim…

Guterres: Afrika ni sehemu muhimu ya biashara na uwekezaji duniani

Guterres: Afrika ni sehemu muhimu ya biashara na uwekezaji duniani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema Afrika ni sehemu muhimu ya biashara duniani na eneo kubwa la uwekezaji. Guterres ameyasema hayo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakati wa uzinduzi wa mpango wa kimataifa wa kuimarisha biashara barani Afrika, Global African Business Initiative, GABI,  wenye lengo la kuchagiza fursa za kibiashara…

Uganda yakosoa EU kwa kupinga Bomba la Mafuta la Uganda -Tanzania

Uganda yakosoa EU kwa kupinga Bomba la Mafuta la Uganda -Tanzania

Wabunge nchini Uganda wamekosoa azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) lililosema nchi hiyo na Tanzania zinapaswa kusitisha miradi ya maendeleo ya mafuta na gesi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Wabunge wa EU walipitisha azimio hilo Alhamisi, wakitaja hatari kubwa za mazingira na hali ya hewa zinazosababishwa na Uganda, Tanzania na kampuni ya mafuta…

Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger

Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger

Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS). Huko nchini Nigeria, mamia ya watu walishiriki katika matembezi hayo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) jana Jumamosi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Baadaye walikusanyika katika Husseiniya ya…

Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

Utawala haramu wa Israel umelazimika kumfuta kazi balozi wake wa nchini Morocco anayekabiliwa na kashfa za ngono na kuwanyanyasa kijinsia wanawake wa nchi hiyo ya Kiarabu. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala ghasibu wa Israel imetangaza kuwa, imemsimamisha kazi David Govrin balozi wake mjini Rabat na nafasi yake imechukuliwa na mwanamama Alona Fischer. David…

Jeshi la Somalia: Wanamgambo 18 wa kundi la kigaidi la al-Shabab wamepelekwa jongomeo

Jeshi la Somalia: Wanamgambo 18 wa kundi la kigaidi la al-Shabab wamepelekwa jongomeo

Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limewaangamiza wanachama 18 wa kundi la kigaidi la a-Shabab lenye mfungamano na mtandao wa al-Qaeda. Hayo yameelezwa na Brigedia Jenerali Odowaa Yusuf Rageh Mkuu wa jeshi la Somalia  ambaye amebainisha kuwa, magaidi hao wameuawa katikati ya nchi baada ya kutokea mapigano makali kati yao na jeshi. Aidha amesema kuwa, jeshi la Somalia…