AFRIKA

Watu 10 wauawa katika mashambulio kwenye jimbo la Tigray, Ethiopia

Watu 10 wauawa katika mashambulio kwenye jimbo la Tigray, Ethiopia

Taarifa kutoka kaskazini mwa Ethiopia zinasema kuwa, waasi wasiopungua 10 wa TPLF wanaopigania kujitenga jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia wameuawa sambamba na kuanza mapigano mapya kati ya wanajeshi wa serikali na waasi hao. Mapigano baina ya serikali ya Ethiopia na waasi wa Tigray yalianza mwezi Novemba 2020 na mbali na kusababisha ukosefu mkubwa…

Ripoti: Malkia Elizabeth alikuwa nembo ya utawala wa kikoloni

Ripoti: Malkia Elizabeth alikuwa nembo ya utawala wa kikoloni

Elizabeth II, Malkia wa Uingereza aliyefariki dunia siku chache zilizopita alikuwa akitambuliwa na watu wengu kuwa ni nembo utawala wa kikoloni. Malkia Elizabeth II wa Uingereza alifariki dunia Alhamisi jioni akiwa na umri wa miaka 96. Kifo cha Elizabeth II na utawala wake wa muda mrefu wa miaka 70 kuanzia 1952 hadi 2022, ambao nusu yake…

Cairo yaitahadharisha Tel Aviv kuhusu hali ya mambo katika Ukingo wa Magharibi

Cairo yaitahadharisha Tel Aviv kuhusu hali ya mambo katika Ukingo wa Magharibi

Cairo imeitahadharisha Tev Aviv kuhusu kushtadi mashambulizi ya utawala huo katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na uwezekano wa kushindwa kudhibiti hali hiyo. Maafisa husika wa Misri wamekosoa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendeleza mashambulizi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kutahadharisha juu ya uwezekano wa kuongezeka…

William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya

William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya

William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF). Rais William Ruto amekula kiapo cha kulitumikia taifa leo Jumanne katika hafla zilizofanyika katika Uwanja wa Kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi. Watu zaidi ya 60,000 wameruhusiwa kuingia katika uwanja huo kushuhudia historia mpya…

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya, Karanja Kibicho amesema kuwa, takriban Wakuu wa Nchi 20 wanatarajiwa kuwasili nchini Kenya kushiriki katika sherehe za kuapishwa Rais mteule William Ruto kesho Jumanne. Kibicho alitoa tangazo hilo Jumamosi wakati Kamati ya Makabidhiano ya Madaraka ilipotembelea Uwanja wa Kasarani katika mji mkuu, Nairobi, ambapo ndipo…

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Mamia ya wananchi wa Morocco wameandamana kulaani utovu wa kimaadili wa balozi wa utawala haramu wa Israel mjini Rabat ambaye anakabiliwa na kashfa ya ngono. Waandamanaji wenye hasira wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutoa mwito wa kufanyika uchunguzi kuhusiana na kashfa ya ngono inayomkabili balozi…

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo. Waandamanaji hao wamekusanyika katika Medani ya Bunge kabla ya kuandamana katika barabara ya Whitehall katikati ya London, na kisha wakakusanyika katika ofisi za shirika la ujasusi la Scotland Yard….

Makala ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika yazua utata

Makala ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika yazua utata

Video ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika ilisababisha hasira kwa watazamaji, hadi chombo hicho cha habari kulazimika kuzuia uwezo wa watazamaji kutoa maoni. Idhaa ya serikali ya Uingereza, BBC, ililazimika kuzuia maoni ya watazamaji baada ya kuchapisha makala kuhusu uhusiano wa muda mrefu wa Malkia na Afrika kwenye Twitter. Katika video…