AFRIKA

EFF: Hatumuombolezi Malkia Elizabeth kutokana na jinai za Uingereza

EFF: Hatumuombolezi Malkia Elizabeth kutokana na jinai za Uingereza

Chama cha The Economic Freedom Fighters (EFF) cha Afrika Kusini kimesema hakiombolezi kifo cha Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza aliyefariki jana. Taarifa ya EFF imesema Elizabeth alichukua hatamu za uongozi Uingereza mwaka 1952, na kutawala kwa miaka 70 kama mkuu wa ufalme ambao ulidumishwa na urithi wa kikatili wa kudhalilisha utu wa mamilioni ya…

Mazungumzo ya Maziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini

Mazungumzo ya Maziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo na Bi. Naledi Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, kuhusiana na masuala ya uhusiano pande mbili, kikanda na kimataifa. Akigusia umuhimu wa Bara la Afrika katika siasa za nje za Jamhuri ya…

Kenya; Rais Mteule Azungumza Na Rais Mstaafu

Kenya; Rais Mteule Azungumza Na Rais Mstaafu

Rais Mteule Dkt William Ruto hatimaye amezungumza na Rais anayeondoka, Uhuru Kenyatta kuhusu mikakati kutwaa serikali namna alivyoahidi Wakenya kwenye hotuba yake kwa taifa Mahakama ya Upeo ilipoidhinisha ushindi wake mnamo Jumatatu, Septemba 5, 2022. Mgombea urais wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga alikuwa amepinga mahakamani matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti…

Rais wa Burundi amtimua Waziri Mkuu kufuatia tetesi za mpango wa mapinduzi

Rais wa Burundi amtimua Waziri Mkuu kufuatia tetesi za mpango wa mapinduzi

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amemfuta kazi waziri mkuu wake, Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kuhusu njama ya “mapinduzi” dhidi yake. Ndayishimiye amemfuta kazi Guillaume Bunyoni na mkuu wa baraza lake la mawaziri, Jenerali Gabriel Nizigama, katika siku ya taharuki kubwa kwenye nchi hiyo yenye machafuko ya Afrika ya Kati. Alain Guillaume Bunyoni alikuwa…

Timu zote 5 za Afrika mara hii zinaongozwa na makocha wazawa katika kombe la dunia Qatar

Timu zote 5 za Afrika mara hii zinaongozwa na makocha wazawa katika kombe la dunia Qatar

Kombe la Dunia la Qatar 2022 litakuwa la kihistoria kwa mchezo wa soka barani Afrika, kwa sababu nchi zote tano za bara hilo zinazoshiriki katika michuano ya kuwania kombe hilo ambazo ni Morocco, Senegal, Cameroon, Tunisia na Ghana zitaongozwa na makocha Waafrika. Kwa mujibu ripoti ya toleo la leo la gazeti la Kayhan, kocha Mbosnia…

Baada ya kuthibitishwa ushindi wa Ruto, sasa wabunge na maseneta Kenya kukutana Septemba 8

Baada ya kuthibitishwa ushindi wa Ruto, sasa wabunge na maseneta Kenya kukutana Septemba 8

Wabunge na maseneta wateule nchini Kenya wanatarajiwa kufanya vikao vyao vya kwanza kabisa siku ya Alkhamisi ya wiki hii, Septemba 8, 2022 siku chache baada ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kutupilia mbali mashitaka ya mgombea urais Raila Odinga na kudhibitisha ushindi wa Dk William Ruto kama ulivyotangazwa na tume ya uchaguzi ya IEBC….

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Muungano wa Azimo One Kenya Raila Odinga aliitaka Mahakama ya Juu ya Kenya kutupilia mbali ushindi wa William…

Magaidi wa al Shabab waua raia wasiopungua 18 na kuchoma moto malori ya chakula katikati ya Somalia

Magaidi wa al Shabab waua raia wasiopungua 18 na kuchoma moto malori ya chakula katikati ya Somalia

Genge la kigaidi na ukufurishaji la al Shabab limeua raia wasiopungua 18 katika eneo la Hiran la katikati mwa Somalia na kuteketeza kwa moto malori yaliyokuwa yamesheheni chakula kwa ajili ya watu wenye njaa wa eneo hilo. Genge hilo lenye silaha lilianzisha mashambulizi katika eneo la Hiran katika jimbo la Hirshabelle la katikati mwa Somalia…