AFRIKA

Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi. Misau ambaye ni balozi wa zamani wa Nigeria katika nchi za Burkina Faso, Kenya na Somalia, amezungumzia umuhimu…

Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

Watu wasiopungua 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la al-Shabab katikati mwa Somalia. Duru za usalama zinasema kuwa, shambulio hilo la al-Shabab lililolenga mabasi kadhaa katika mji wa Hiran katikati mwa Somalia limetokea Jumamosi ya leo na kwamba, wanawake na watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo. Taarifa zaidi…

Wapiganaji wa Tigray wadai kuwateka nyara mamia ya wanajeshi wa serikali ya Ethiopia

Wapiganaji wa Tigray wadai kuwateka nyara mamia ya wanajeshi wa serikali ya Ethiopia

Wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) ya kaskazini mwa Ethiopia wametangaza kuwa, wanawashikilia mamia ya wanajeshi wa serikali iliowateka nyara hivi karibuni. Taarifa hiyo ambayo haikutoa maelezo zaidi imedai kwamba, hivi sasa mamia ya wanajeshi wa serikali wanashikiliwa na wapiganaji hao. Kadhalika wanamgambo hao wamedai kuwa, wanajeshi wa Ethiopia wamekuwa wakiwatumia watoto…

Waziri Mkuu wa Japan aahidi kufuatilia kiti cha Afrika katika Baraza la Usalama

Waziri Mkuu wa Japan aahidi kufuatilia kiti cha Afrika katika Baraza la Usalama

Waziri Mkuu wa Japan amesema kuwa, nchi yake ina mpango wa kustafidi na nafasi na ushawishi wake katika Baraza la Usalama ili kuhakikisha kuwa, bara la Afrika linapatiwa kiti cha kudumu katika taasisi hiyo muhimu duniani. Fumio Kishida, Waziri Mkuu wa Japan amesema hayo katika hotuba yake kwenye “Mkutano wa Kimataiifa wa Tokyo Kwa Ajili ya Ustawi…

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya leo inaanza kusikiliza kesi ya kupinga kutangazwa kwa William Ruto kuwa Rais Mteule. Pande husika zimetoa madai ya kila aina na hivyo majaji saba wa mahakama hiyo ya kilele watakuwa na kibarua kigumu kutofautisha kati ya ukweli, porojo na uongo ili kuamua kesi hiyo kwa haki bila ushawishi wowote kutoka nje….

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni. Timu hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Mohammed Chande Othman. Wengine katika timu hiyo ya uangalizi wa kesi hiyo…

Zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wa Somalia wapewa mafunzo na kikosi cha AU

Zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wa Somalia wapewa mafunzo na kikosi cha AU

Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia kimetoa mafunzo na ushauri wa kiusalama kwa maafisa polisi 8,167 wa Somalia kikosi hicho kilipotumwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2009. Mkuu wa Polisi wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS), Rex Dundun amesema hayo na kuongeza kuwa, maafisa…

Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi

Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi

Rais Bashar al Assad wa Syria amesisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi na akaeleza kwamba, kupambana na ugaidi hakutawezekana kwa kutumia nguvu za kijeshi pekee, kwa sababu idiolojia ya mitazamo ya kufurutu ada haitambui mipaka bali inajipanua na kuenea kwa kasi kutoka nchi moja hadi nyingine. Rais wa Syria ameyasema hayo…