AFRIKA

Rais wa Tanzania atoa wito wa upanuzi wa uhusiano wa kiuchumi na Iran

Rais wa Tanzania atoa wito wa upanuzi wa uhusiano wa kiuchumi na Iran

Rais wa Tanzania katika kikao na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuongezwa maingiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Dodoma jana Ijumaa…

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na Rais wa Zanzibar

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na Rais wa Zanzibar

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu7 ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar na wawili hao wamesitizia udharura wa kuimarishwa ushirikiano baina ya pande mbili. Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar ameashiria katika mazungumzo yake na Hussein Amir-Abdollahian kuhusu uhusiano mkongwe baina ya…

Amir Abdullahian : Afrika ni miongoni mwa vipaumbele katika diplomasia ya kiuchumi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Amir Abdullahian : Afrika ni miongoni mwa vipaumbele katika diplomasia ya kiuchumi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Waziri wa Mashauri ya Kigeni amelitaja bara la Afrika kuwa ni miongoni mwa vipaumbele vikuu vya diplomasia ya uchumi ya Iran na akiashiria nafasi maalumu ya Tanzania katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akasisitiza juu ya kufanyika kikao cha kamisheni ya pamoja kati ya nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya…

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao cha wanaharakati wa masuala ya kiuchumi na biashara wa Iran na Tanzania ambapo…

Rais wa Somalia atangaza vita dhidi ya kundi la al-Shabab, aahidi kulitokomeza

Rais wa Somalia atangaza vita dhidi ya kundi la al-Shabab, aahidi kulitokomeza

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametangaza vita dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab ambalpo limekuwa likifanya mashambulio na mauaji mara kwa mara katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Rais huyo mpya wa Somalia ameahidi vita vikali vya kutokomeza kundi la al-Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo…

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Kundi la raia wa Kenya limeifungulia mashitaka serikali ya Uingereza katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya, likitaka iwajibishwe kwa jinai ilizotenda dhidi ya wananchi wa Kenya enzi za ukoloni. Katika faili hilo, Wakenya hao wamesema mababu zao waliteswa na kukandamizwa na wakoloni Waingereza, mbali na kufukuzwa kwenye ardhi zao. Wakili Joel Kimutai Bosek anayeliwakilisha…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. Hiyo ni ziara rasmi ya kwanza ya Hossein Amir-Abdollahian barani Afrika tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Aliwasili nchini Mali…

Raila Kujipata Hali Tata Korti Ikikataa Ombi

Raila Kujipata Hali Tata Korti Ikikataa Ombi

Huenda mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga akajipata kwenye hali tata Mahakama ya Upeo ikiamua uchaguzi wa marudio ufanyike ukisimamiwa na mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati. Katika kesi yake ya kupinga ushindi wa William Ruto, Bw Odinga anaomba majaji kuagiza uchaguzi mpya wa urais ufanywe Bw Chebukati akiwa nje. Bw Odinga anadai Bw…