AFRIKA

Mgombea urais wa Azimio Kenya apinga matokeo yaliyomtangaza Ruto mshindi

Mgombea urais wa Azimio Kenya apinga matokeo yaliyomtangaza Ruto mshindi

Raila Odinga, mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya Muungano wa Azimio amesema hakubaliani na matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kwasababu mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati alikiuka katiba kabla ya kumtangaza mshindi. Akizungumza na vyombo vya habari leo jioni katika mji mkuu Nairobi, Odinga ameeleza…

Ruto Rais mteule Kenya

Ruto Rais mteule Kenya

Nairobi. Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya, Wafula Chebukati imemtangaza mgombea wa Kenya Kwanza, William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya. Ruto ambaye ni Naibu Rais wa Kenya, ameshinda uchaguzi huo uliokuwa na mchuano mkali kati yake na mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga aliyekuwa akipigiwa debe na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta….

Wanachama 13 wa genge la kigaidi la al Shabab waangamizwa Somalia

Wanachama 13 wa genge la kigaidi la al Shabab waangamizwa Somalia

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wanachama 13 wa genge la kigaidi ukufurishaji la al Shabab wameangamizwa katika shambulio la anga lililofanywa katikati ya Somalia. Maafisa wa kijeshi wa Somalia wametangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, shambulio la anga lililofanywa nchini humo dhidi ya maficho ya magaidi wa al Shabab katika mkoa wa Hiran limeua wanamgambo…

Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan

Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan. Hayo yalisemwa jana Jumamosi na Brigedia Jenerali Abdul-Jalil Abdul-Rahim, Msemaji wa Baraza la Taifa la Ulinzi wa Raia na kuongeza kuwa, mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Sudan yamesababisha watu 50 kuaga dunia na makumi ya wengine…

Kenya: Kamati Yatangaza Siku Ya Kuapishwa Rais Mpya Kuwa Ya Mapumziko

Kenya: Kamati Yatangaza Siku Ya Kuapishwa Rais Mpya Kuwa Ya Mapumziko

FARAAN: Siku ya kuapishwa kwa Rais wa Tano wa Kenya itakuwa sikukuu ya kitaifa, kamati ya kusimamia kuhamishwa kwa mamlaka kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta hadi kwa mrithi wake ilisema Ijumaa. Kamati hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Utumishi wa Umma Joseph Kinyua, ilifanya kikao chake cha kwanza. Bw Kinyua alisema kamati hiyo inangojea Tume Huru…

Tume ya Uchaguzi Kenya yakanusha madai ya kudukuliwa mfumo wake

Tume ya Uchaguzi Kenya yakanusha madai ya kudukuliwa mfumo wake

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) imepuuzilia mbali madai kuwa mfumo wake wa kuendesha uchaguzi umedukuliwa, huku Wakenya wakiendelea kusubiri kwa hamu na shauku kuu matokeo rasmi ya mwisho ya uchaguzi wa rais. Akiongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Bomas jijini Nairobi leo Ijumaa, Ofisa Mkuu Mtendaji wa IEBC, Marjan Hussein…

Waangalizi wa kimataifa wameridhishwa na uchaguzi Kenya

Waangalizi wa kimataifa wameridhishwa na uchaguzi Kenya

Waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi wamefurahishwa na uchaguzi wa Kenya na sasa wanatoa wito wa ukabidhianaji madaraka kwa amani. Wakizungumza Alhamisi mjini Nairobi, waaangalizi walipongeza watu wa Kenya na tume ya uchaguzi kwa kuendesha uchaguzi huru, wa haki na wa kuaminika siku ya Jumanne. Kufikia Alhamisi, bado kulikuwa na mbio za farasi wawili kati ya…

Watu kadhaa wauwa katika maandamano Somaliland wakipambana na polisi

Watu kadhaa wauwa katika maandamano Somaliland wakipambana na polisi

Watu kadhaa waliuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa siku ya Alhamisi baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji wanaoipinga serikali katika miji kadhaa ya eneo lililojitenga la Somalia la Somaliland. Mamia ya watu waliandamana mitaani katika mji mkuu Hargeisa na miji ya Burao na Erigavo baada ya mazungumzo kati ya serikali na vyama vya upinzani kuvunjika,…