Ruto: Hata Uhuru Atafurahia Enzi Ya Utawala Wangu Endapo Nitachaguliwa Agosti 9
Naibu Rais, William Ruto ambaye anamezea mate kuingia Ikulu katika uchaguzi mkuu Jumanne, Agosti 9 amemhakikishia Rais Uhuru Kenyatta kwamba hapaswi kuwa na wasiwasi wowote kuhusu uongozi wake. Dkt Ruto amemtaka Rais Kenyatta kuwa na imani, endapo atamrithi na kuwa rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya ataisukuma mbele na kuifanya kuwa bora. Kauli ya…
Samia aweka msimamo uanzishwaji wilaya mpya
Dar/Mbeya. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa kero za wananchi. Rais Samia alitoa kauli hiyo jana mkoani Mbeya, wakati akizindua mradi wa maji wa Shongo – Mbalizi baada ya kupokea ombi kutoka kwa mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza la kutaka Mbalizi…
Rais Samia: Tatizo la maji kumalizika 2025
Chunya. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatambua matatizo yanayowakabili kina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo muhimu hivyo Serikali itahahakikisha mpaka kufikia mwaka 2025 tatizo la maji nchini linakuwa limekwisha. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi, Agosti 6, 2022 wakati…
WHO: Umri wa mtu kuishi, tena akiwa na afya Afrika umeongezeka
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema umri wa mtu kuishi barani Afrika, tena akiwa na afya bora umeongezeka kwa wastani wa miaka 10 kwa mtu mmoja kati ya mwaka 2000 na 2019, ikiwa ni ongezeko kubwa kuliko ukanda mwingine wa shirika hilo duniani katika kipindi hicho hicho; na sababu ni pamoja na kuimarika huduma za…
Matokeo ya utafiti yambeba Raila Odinga, Ruto amfuatia
Nairobi. Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, matokeo ya utafiti wa Ipsos na Infotrak yameonyesha mgombea kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga ataongoza dhidi ya mshindani wake wa karibu, Naibu Rais William Ruto wa Kenya Kwanza. Matokeo ya Ipsos yanaonyesha kuwa Odinga ataongoza kwa asilimia 47 dhidi ya asilimia 41…
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika. Mandla Mandela ambaye yuko Tehran kwa ajili ya kupokea Tuzo ya Haki za Binadamu za Kiislamu amesema hayo katika mazungumzo yake na Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya…
Tanzania, Zambia zakubaliana kurejesha uhusiano
Dar es Salaam. Tanzania na Zambia zimekubaliana kurejesha uhusiano wao ambao miaka ya karibuni ulilegalega, huku viongozi wa mataifa hayo wakikubaliana kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kuwaunganisha watu. Rais wa Zambia Haikendi Hichilema amefanya ziara nchini ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kuingia madarakani ambapo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan….
Wananchi walia na wodi ya wazazi Kibaha
Kibaha. Wananchi wa kata ya Mbwawa mjini Kibaha mkoani Pwani wameiomba Serikali kujengea wodi ya wazazi katika zahanati iliyopo katika kata hiyo ili kusaidia kina mama wajawazito. Wamesema kuwa kwa sasa wajawazito wanatembea zaidi ya kilometa 10 kwenda katika kata ya Mlandizi kutokana na zahanati hiyo kuosa wodi ya wazazi hali inayohatarisha maisha yao. Wametoa kero…