AFRIKA

Waziri auawa katika shambulio la al-Shabaab msikitini Somalia

Waziri auawa katika shambulio la al-Shabaab msikitini Somalia

Waziri wa Sheria wa jimbo la Kusini Magharibi mwa Somalia, Hassan Ibrahim Lugbur pamoja na mtoto wake wa kiume ni miongoni mwa watu kadhaa waliouawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab lililolenga waumini waliokuwa wamekusanyika msikitini kwa ajili ya Swala mjini Baidoa, kusini mwa nchi. Watu wasiopungua 11 akiwemo mtoto mwingine wa kiume…

Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

Rais Samia ateua wakuu wa mikoa wapya, tisa watemwa

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema tisa akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi. Uteuzi huo umetangaza leo Alhamisi Julai 28, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus Taarifa hiyo imewataja wakuu wa mikoa…

Uchaguzi Kenya: Rushwa za kampeni zimesababisha uhaba wa noti ndogo

Uchaguzi Kenya: Rushwa za kampeni zimesababisha uhaba wa noti ndogo

Huku uchaguzi mkuu nchini Kenya ukikaribia kufanyika Agosti 9, Waziri wa Usalama Fred Matiang’i amefichua kuwa benki nchini humo zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa noti za Sh200 na Sh100 baada ya wanasiasa kuzitumia sana kuwahonga wapiga kura wakati wa kampeni. Matiang’i aliyadokeza hayo siku ya Jumatano, wakati wa uzinduzi wa ukaguzi wa ripoti mpya kuhusu…

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati

Palestina ni Taifa ambalo limekuwepo kwa muda mrefu lakini haitambuliki kama nchi popote duniani. Jumuiya za kimataifa hazilitambui Taifa hilo ambalo limemezwa na nchi ya Israel na halipo kabisa katika ramani ya uso wa dunia. Ni Taifa ambalo halina serikali yake. Sehemu kubwa ya ardhi yake imetwaliwa na Waisraeli. Umoja wa Mataifa (UN) haulitambui Taifa…

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia. Akiwa jijini Kampala, Lavrov amelakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe na mwenzake wa Uganda…

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel

Upendo na  na hisia ya Waislamu wa Tanzania kwa Palestina huonekana katika mambo kadhaa moja wapo ni hili hapa. Waislamu nchini Tanzania na wapenda amani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki leo wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni…

Kinana afichua siri CCM kuendelea kubaki madarakani

Kinana afichua siri CCM kuendelea kubaki madarakani

Katavi. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amesema siri ya chama hicho kuendelea kubaki madarakani kunatokana na aina ya demokrasia yake, uhuru, uwazi na utoaji maoni. Akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Katavi, leo Jumatatu Julai 25, 2022, amesema ustawi huo unasababisha demokrasia ndani ya chama hicho kutoa fursa sawa kwa kila mwanachama kuwa huru kuchagua…

Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

Mbunge wa Mbeya mjini wa chama cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) Joseph Osmund Mbilinyi maarifa kwa jina la Sugu amesema kuwa, inashangaza kuona hii leo serikali ya Rais John Magufuli inakwenda kinyume na misingi iliyojengwa na Tanzania katika kuwatetea watu wanaokandamizwa duniani, hususan Palestina. Akitoa mfano wa suala hilo mheshimiwa Mbilinyi ameelezea namna ambavyo Tanzania…