AFRIKA

Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Akizungumza na gazeti la The Citizen, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga amesema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa haitambui Jerusalem…

BAKWATA lalaani unyama wa Israel, lawataka Waislamu wote Tanzania kuliombea nusra taifa la Palestina

BAKWATA lalaani unyama wa Israel, lawataka Waislamu wote Tanzania kuliombea nusra taifa la Palestina

Huu ulikuwa ni ulikuwa ni moja wapo wa Misimamo ya Bwakwata kuhusu Palestina. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limelaani vitendo vya kinyama na uadui vinavyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa taifa madhulumu la Palestina vikiwemo vya kuua raia wasio na hatia. Kupitia tamko lililosomwa leo Alkhamisi na Sheikh…

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina

Haya yalikuwa ni maoni na mawazo ya mmoja wa Wanasiasa wa Tanzania kuhusu Palestina na Israel.   Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro amesema Tanzania haitaitenga Israel katika mchakato wa kusaka amani katika mgogoro wake na Palestina. Hivi karibuni Balozi wa Palestina nchini Tanzania,…

‘Kuleta ufanisi Bandarini, Serikali isiingie tena mkataba na TICTS’

‘Kuleta ufanisi Bandarini, Serikali isiingie tena mkataba na TICTS’

Kutoka na Kampuni ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kutowekeza vya kutosha kwenye miundombinu ya Bandari (Equipment, Logistics corridor, etc.) ufanisi kwenye bandari ya Dar es Salaam umekua mdogo na kulalamikiwa na wadau na viongozi wa juu Serikalini. Hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliikosoa hadharani Bbandari ya Dar es…

Uhuru Ateua Majaji Saba Wapya Katika Mahakama Ya Rufaa

Uhuru Ateua Majaji Saba Wapya Katika Mahakama Ya Rufaa

FARAAN : Rais Uhuru Kenyatta ameteua majaji saba wapya katika Mahakama ya Rufaa ambao walipendekezwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC). Saba hao ni majaji Luka Kimaru Kiprotich, Lydia Achode, John Mativo na Fredrick Ochieng’. Wengine ni majaji Grace Ngenye, Abida Ali Aroni na wakili Paul Mwaniki. Wanasheria hao waliorodheshwa na JSC baada ya…

Silaha za Kizayuni zilizosafirishwa kwenda Morocco; Kutoka Pegasus miongoni mwazo; ndege zisizo na rubani

Silaha za Kizayuni zilizosafirishwa kwenda Morocco; Kutoka Pegasus miongoni mwazo; ndege zisizo na rubani

Gazeti la Kizayuni lilifichua habari kuhusiana na kiwango na aina ya silaha zinazosafirishwa kwenda Morocco, sawia na safari ya Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la utawala huo alipotembelea nchi ya Morocco. Wakati huo huo Aviv Kokhavi, Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Kizayuni alitembelea nchi ya Morocco siku ya Jumatatu mnamo wiki hii, hii ikiwa…

‘Ushindi wa Palestina ni ushindi wa dunia’

‘Ushindi wa Palestina ni ushindi wa dunia’

BALOZI wa Palestina hapa nchini, Dk Nasri Abujaish amesema ushindi iliyoupata nchi yake baada ya kupigiwa kura na hatimaye kuipandisha hadhi ni ushindi wa dunia nzima katika kupigania haki za binadamu, uhuru na amani. Dk Abujaish aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za ubalozi huo, zilizopo Upanga ,jijini Dar es…

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Haya ni maneno ya Baraza la Kuu la waislamu Tanzania (Bakwata) wakionyesha mshikamano wao na Waislamu wenzao wa Palestina.Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka Waislamu wote nchini kuitumia sala ya Ijumaa kufanya dua maalumu kuliombea Taifa la Palestina lenye mgogoro dhidi ya Israel. Mbali na hilo, amewataka pia kufanya dua ya…