MAREKANI, TANZANIA KIWAKILISHI CHA ‘DUNIA’ MBILI KATI YA TATU ZINAZOKIDHANA KUHUSU ISRAEL
Uchambuzi wa Kisiasa kuhusu Uhusiano wa Tanzania na Israel. MAPEMA wiki iliyopita na wiki hii dunia imeshuhudia historia ikiwekwa kwa husiano za kidiplomasia linapokuja Taifa la Israel baada ya Tanzania na Marekani kwa nyakati hizo mbili tofauti kufungua balozi mpya katika Taifa hilo la Mashariki ya Kati. Wakati Tanzania ikifungua ubalozi mara ya kwanza nchini…
Sugu, Zitto wafunguka safari za Magufuli, uhusiano wa Tanzania kimataifa
Wabunge hawa ni moja wapo wa Wanasiasa wa Tanzania waliopinga na kukerwa na kuanzishwa upya kwa uhusiano wa Tanzania na Utawala haramu wa Israel. Dodoma. Safari chache za nje ya nchi zilizofanywa na Rais John Magufuli tangu aingie madarakani na uhusiano wa kimataifa wa Tanzania na nchi kadhaa, ni baadhi ya mambo yaliyogusa mjadala wa…
Uhusiano wa Tanzania, Israel ulivyoibua mjadala mpya wa kidiplomasia nchini
Haya ni baadhi ya maoni yaliotolewa na Watalaamu na Wachambuzi wa Siasa na uhusiano wa Kimataifa baada ya Tanzania kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel. Mapema wiki hii historia ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel uliingia katika sura mpya. Dunia imeshuhudia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dk Augustine Mahiga…
Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea
Waziri Mkuu wa muda wa utawala haramu wa Israeli, Yair Lapid, ametoa amri ya kufungwa kwa ubalozi wa utawala huo nchini Eritrea baada ya viongozi wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kukataa kumpokea balozi mpya wa utawala huo haramu kwa miaka miwili sasa. Katika miaka ya hivi karibuni, utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka…
Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania walaani mauaji ya mwandishi wa Al-Jazeera
Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania unalaani vikali mauaji ya kikatili ya Israel yaliyomlenga mwandishi wa habari mkongwe wa Al-Jazeera, Shireen AbuAqla katika kambi ya wakimbizi ya Jenin. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ubalozi huo Mei 11, 2022, wanajeshi wa Israel walimpiga risasi Shireen kichwani. Mwandishi huyo aliuawa wakati akiripoti uhalifu wa…
Mabilioni yanavyoteketea kwenye kampeni za Kenya
Nairobi/Kenya. Wanasiasa wanazidi kumwaga mabilioni ya fedha katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, huku mamilioni ya wapigakura wakihangaika kutokana na makali ya njaa na bei za juu za bidhaa, Gazeti la Taifa Leo linaripoti. Hali ikiwa hivyo, kumeripotiwa idadi ya watu ambao wanahitaji chakula kwa dharura inaongezeka kila uchao nchini humo, hasa katika maeneo…
CAG Kichere naye alia na Tume ya uchaguzi ifumuliwe
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameishauri Serikali kuipa nguvu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuajiri watumishi wake watakaoweza kusimamia uchaguzi kwa haki badala ya kuendelea kutegemea waliopo kwenye mfumo wa Serikali. Mei 10, 2019, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya kubatilisha vifungu vya 7(1) na 7(3) vya…
Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab
Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema, kuhitimisha uasi wa utumiaji silaha unaofanywa na kundi la Ash-Shabaab unahitaji mbinu nyingine kuliko ya kijeshi na kwa hivyo utakapofika wakati mwafaka, serikali yake itafanya mazungumzo na kundi hilo lenye misimamo ya kufurutu ada. Rais wa Somalia amesema, kundi hilo lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda,…