AFRIKA

DRC na Rwanda zakubaliana kupunguza mivutano kwa sababu ya waasi wa M23

DRC na Rwanda zakubaliana kupunguza mivutano kwa sababu ya waasi wa M23

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC na Rwanda zimekubaliana kutekeleza “mchakato wa kupunguza mvutano” baina yao kufuatia mazungumzo ya siku moja yaliyofanywa na marais wa nchi hizo mbili kwa upatanishi wa rais wa Angola. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais Felix Tshisekedi wa DRC, katika ujumbe uliotumwa kwenye mtandao wa Twitter. Aidha, Jamhuri ya Kidemokrasia…

Rais Mwinyi aeleza njia EAC kufurahia Kiswahili duniani

Rais Mwinyi aeleza njia EAC kufurahia Kiswahili duniani

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema namna bora ya kuonyesha kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imefurahi kuwa na siku ya lugha ya Kiswahili duniani ni kuongeza jitihada za kuimarisha lugha hiyo kwa kubuni mbinu bora za kukuza na kuiendeleza. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Alhamis Julai 7, 2022 katika maadhimisho ya kwanza…

Jaji Werema: Wananchi washirikishwe utungaji sheria

Jaji Werema: Wananchi washirikishwe utungaji sheria

Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu mstaafu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema kutoshirikishwa kwa wananchi katika utungaji wa sheria ndiyo chanzo cha wananchi kulalamikia sheria hizo. Werema ameishauri Serikali kabla ya sheria hazijatungwa na Bunge ni lazima ushirikishwaji ufanyike zaidi ya mara moja ili kuwapa fursa Watanzania watoe maoni yao kusaidia kuboresha na kujua wanachotaka. Jaji…

Familia nne zakosa makazi nyumba ikibomolewa Mwanza

Familia nne zakosa makazi nyumba ikibomolewa Mwanza

Mwanza. Familia nne zilizokuwa zikiishi katika nyumba moja iliyoko mtaa wa Isamilo Kaskazini ‘B’ kata ya Isamilo jijini Mwanza zimekosa mahala pa kuishi baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kubomolewa huku taarifa zikidai kwamba mmiliki wa eneo hilo alishaliuza kwa mtu mwingine anayehitaji kulibadilishia matumizi. Familia zilizoathirika kutokana na ubomoaji huo ni familia ya Happiness Lukenza…

Ajali ilivyopoteza mke, watoto wawili

Ajali ilivyopoteza mke, watoto wawili

Dodoma. “Binadamu ni wasafiri, lakini njia za kusafiria zinatofautiana, hata hivyo nimeamua kusahau na kusamehe.” Hiyo ni kauli ya Meshack Samson, aliyepoteza watu watatu katika ajali ya gari iliyohusisha mkokoteni wa kuvutwa na ng’ombe. Ilikuwa ni umbali wa karibu kilomita 70 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma hadi Kijiji cha Manzase wilayani Chamwino, katika barabara ya…

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili. Mahdi Safari amekutana na Waziri Mkuu wa Uganda Robinah Nabbanja na kujadili kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mbili…

Magaidi washambulia kituo cha kijeshi katika mpaka wa Niger

Magaidi washambulia kituo cha kijeshi katika mpaka wa Niger

Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kundi moja la kigaidi limekishambulia kituo cha jeshi la Niger karibu na mpaka wa nchi hiyo na Chad. Mashambulizi ya kigaidi yaliyoigubika Nigeria tangu mwezi Mei mwaka 2013 hadi sasa yamepelekea maelfu ya watu kuwa wakimbizi, kuibua njaa, kuongezeka umaskini n.k.  Mashambulizi ya awali ya kigaidi yaliikumba Nigeri…

Watafiti wa panya duniani wakutana Arusha

Watafiti wa panya duniani wakutana Arusha

Arusha. Wanasayansi na watafiti wa panya kutoka nchi zaidi ya 50 duniani, wamekutana Jijini Arusha, kujadili namna ya kuwatumia Panya katika udhibiti, kugundua mabomu na kugundua maambukizi ya ugonjwa wa tauni na uokozi wa majanga ya kidunia. Aidha katika  mkutano huo wa saba wa kimataifa wa baiolojia ya panya na udhibiti wa panya duniani unaofanyika jijini…