AFRIKA

Balozi Ami ahoji historia ya nchi kuandikwa kwa lugha ya kigeni

Balozi Ami ahoji historia ya nchi kuandikwa kwa lugha ya kigeni

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya viongozi wastaafu wakitupiwa lawama ya kuacha kuandika historia halisi ya nchi, Balozi wa zamani Ami Mpungwe amevunja ukimya kwa kueleza ugumu wa sheria za Tanzania katika kufanikisha hilo. Amesema zipo changamoto iwapo utataka kuandika historia ya yaliyotokea nchini, akitaja ugumu wa upatikanaji wa nyaraka muhimu za kihistoria. Balozi Mpungwe ameyasema…

Serikali: Ndoto ya Kiswahili kutumika Afrika yatimia

Serikali: Ndoto ya Kiswahili kutumika Afrika yatimia

Dar es Salaam. Dunia inapoelekea Siku ya Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili leo Julai 7, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Utamaduni imeandaa mdahalo wenye mada kuhusu mchango wa Kiswahili na Ukombozi wa Bara la Afrika leo Alhamisi. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema ndoto za Kiswahili kutumika katika Afrika zimekamilika baada ya…

Wakunga wasimamishwa kazi kwa kutelekeza wajawazito

Wakunga wasimamishwa kazi kwa kutelekeza wajawazito

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kukemea tabia ya watumishi wa afya kutekeleza wagonjwa, Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewasimamisha kazi wakunga wawili kwa kosa kutelekeza wajawazito na kusababisha madhara kwa akina mama waliofika kujifungua. Watumishi hao ni pamoja John Chuma wa Zahanati ya Boheloi iliyopo Lushoto,…

Bei ya mafuta ya petroli nchini Tanzania yapanda licha ya ruzuku

Bei ya mafuta ya petroli nchini Tanzania yapanda licha ya ruzuku

Watanzania wanakabiliana na nyakati ngumu kutokana na bei ya mafuta kupanda nchini kote kuanzia leo Jumatano, licha ya ruzuku ya serikali. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda hadi kiwango ambacho hakijawahi kurekodiwa katika soko la ndani. Kuanzia…

Wanafunzi waliongoza 10 bora wataja siri ya mafanikio

Wanafunzi waliongoza 10 bora wataja siri ya mafanikio

Moshi. Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi kitaifa, wa Shule ya Sekondari Wari Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro, Philipo Ng’eleshi (PCB) amesema siri ya mafanikio ni  kuongeza bidii ya kusoma. Shule hiyo  inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi  ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo imetoa wavulana wawili kumi bora kitaifa, masomo ya sayansi, Philipo Ng’eleshi (PCB)  alishika…

Watumishi wawili wa ardhi wafukuzwa, watano wasimamishwa

Watumishi wawili wa ardhi wafukuzwa, watano wasimamishwa

Dodoma. Watumishi wawili wa kitengo cha ardhi katika Jiji la Dodoma wamefukuzwa kazi na wengine watano wamesimamishwa kwa kusababisha migogoro ya ardhi. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Julai 6, 2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa jiji Joseph Mafuru katika kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama cha Mkoa kilipokutana na watumishi wapya wa idara ya ardhi….

Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa, watu kadhaa wauawa

Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa, watu kadhaa wauawa

Watu kadhaa wameuawa, huku wengine wakijeruhiwa Jumanne, wakati majambazi waliposhambulia msafara wa walinzi, maafisa wa itifaki na vyombo vya habari, kabla ya safari ya Rais Muhammadu Buhari kufika katika mji alikozaliwa wa Daura, Jimbo la Katsina. Ofisi ya Rais wa Nigeria imetoa taarifa na kuitaja hujuma hiyo ya Jumanne kuwa ni ya kusikitisha. Katika taarifa…

MSCL yataja sababu kupanda nauli za meli

MSCL yataja sababu kupanda nauli za meli

Mwanza. Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) imetaja sababu ya kupanda kwa nauli za meli zake ni kupanda kwa gharama za uendeshaji kunakosababishwa na ongezeko la bei ya mafuta. Gharama za nauli ya kusafirisha abiria na mizigo kwa njia ya maji kati ya miji ya Mwanza na Bukoba kwa meli ya Mv Victoria “Hapa Kazi…