AFRIKA

Sh752 bilioni zawezesha wajasiriamali wanawake

Sh752 bilioni zawezesha wajasiriamali wanawake

Dar es Salaam. Dhamira ya Serikali kuongeza kasi ya ushiriki wa wanawake kwenye sekta ya uzalishaji mali na kukuza uchumi, imeendelea kuungwa mkono na taasisi za fedha mbalimbali nchini. Benki ya NMB ni sehemu ya mtekelezaji mkubwa wa mkakati huo wa Serikali ambapo, imeendelea kuwawezesha wanawake wajasiriamali nchini kwa kuwapa mikopo yenye masharti na gharama…

WHO: Mripuko wa nne wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

WHO: Mripuko wa nne wa Ebola katika jimbo la Equateur, DRC umetokomezwa

Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa, mripuko wa Ebola uliotangazwa tarehe 23 mwezi Aprili mwaka huu huko Mbandaka, mji mkuu wa jimbo la Equateur katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetokomezwa. Taarifa iliyotolewa na WHO katika miji ya Kinshasa, DRC na Brazzaville, Jamhuri ya Kongo, imesema mripuko huo ulikuwa ni wa 3 kwa jimbo la…

Bweni la wavulana lateketea Chalinze

Bweni la wavulana lateketea Chalinze

Chalinze. Moto umezuka ghafla katika Shule ya msingi ya Wavulana ya Chalinze Modern Islamic Mkoa wa Pwani nchini Tanzania na kuunguza bweni la Wavulana pamoja na kuteketeza vifaa mbalimbali vya wanafunzi ikiwemo nguo na madaftari. Moto huo umezuka leo Jumanne Julai 05, 2022 wakati wanafunzi wa bweni hilo wakiwa kwenye Ibada Msikitini kwenye eneo hilo. Mwenyekiti…

Ajali yaua watano Mbeya

Ajali yaua watano Mbeya

Mbeya. Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya lori la mizigo lililobeba shehena ya mahindi kufeli breki na kugonga badi dogo la abiria aina ya Coaster liliyokuwa likitoka Mbeya mjini kwenda Wilaya ya Mbarali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 5, 2022 kwenye…

Bei ya mafuta yazidi kupaa

Bei ya mafuta yazidi kupaa

Dar es Salaam. Bei ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Mei, iliyokuwa kubwa zaidi katika historia ya Tanzania kiasi cha kuilazimu Serikali kutoa ruzuku. Mei, bei ya petroli ilifika Sh3,148 jijini Dar es Salaam ikipanda kwa Sh287 kutoka Aprili kwa kila lita moja huku dizeli ikipanda kwa Sh566 kutoka Sh2,692 hadi Sh3,258…

Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka

Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana. Matokeo…

Rais Samia asikitika watoto kuugua fistula

Rais Samia asikitika watoto kuugua fistula

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema amesikitishwa na taarifa ya hospitali ya CCBRT kupokea watoto wenye umri kati ya miaka minne hadi 11 wa ugonjwa fistula. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Juni 5, 2022, kwenye uzinduzi wa jengo la kutolea huduma ya afya ya mama na mtoto katika hospitali ya CCBRT jijini Dar…

Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022 hizi hapa

Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022 hizi hapa

Zanzibar. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana Hizi…