AFRIKA

Chadema yamtaka spika awatimue kina Mdee

Chadema yamtaka spika awatimue kina Mdee

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum kikidai ni  ‘haramu’ na kwamba uamuzi huo ndio takwa la kikatiba. Kauli hiyo imetolewa  leo Jumapili Juni 26, 2022 na Spika wa Bunge la wananchi la chama hicho, Celestine Simba alipozungumza na vyombo…

Serikali yatangaza upya ajira 736

Serikali yatangaza upya ajira 736

Dodoma. Serikali imetangaza tena ajira 736 za kada ya afya zilizokosa waombaji  wenye sifa huku wengi wakiwa ni wauguzi ngazi ya cheti. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi,  Innocent Bashungwa ametoa taarifa hiyo leo Jumapili  Juni 26,2022 wakati akitangaza waliochaguliwa katika ajira mpya zilizotangazwa na serikali mapema Aprili, 2022 mbapo walimu 9800 wamepatikana. Kwa upande…

Waliokuwa viongozi Chaso wajiunga ACT- Wazalendo

Waliokuwa viongozi Chaso wajiunga ACT- Wazalendo

Dar es Salaam. Viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (Chaso) wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam wamejiunga na chama cha ACT wazalendo. Jumla ya wanachama 23 wa jumuiya hiyo wamepokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu pamoja na katibu wa Ngome ya…

Serikali yaikabidhi NMB bustani ya Forodhani

Serikali yaikabidhi NMB bustani ya Forodhani

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS) imefikia makubaliano ya kuikabidhi benki ya NMB kutunza bustani ya Forodhani visiwani hapa ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuunga mkono uhifadhi wa mazingira na ajenda ya uchumi wa bluu. Mradi huo wa utunzaji wa bustani ya Forodhani unalenga kuboresha mazingira ya kitalii na kuakisi vyema sifa maarufu ya eneo hilo, na utawezesha bustani…

Meli iliyobeba tani 5,623 za Sulphur yawasili Mtwara

Meli iliyobeba tani 5,623 za Sulphur yawasili Mtwara

Mtwara. Meli ya BOSS7 iliyobeba tani 5,623 za Sulphur ya unga leo Ijumaa Juni 24, 2022 imewasili mkoani Mtwara kutoka nchini Uturuki. Kuingia kwa meli hiyo inafanya jumla ya viuatilifu vilivyoingia nchini kufikia tani 10,170 katika ya 25,000 zilizoagizwa na Serikali. Shehena hiyo itagawiwa bure kwa wakulima baada ya wiki tatu, ikiwa lengo la kuimarisha kilimo…

Mwenge wazindua Makao makuu ya Enduimet WMA

Mwenge wazindua Makao makuu ya Enduimet WMA

Longido. Mwenge wa Uhuru, umezindua mradi wa majengo ya Makao Makuu ya Jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori ya Enduimet (WMA), wilayani Longido wenye thamani ya Sh651.7 milioni Mradi huo ambao sasa utawezesha WMA kuwa na kituo cha taarifa za watalii umejengwa na Taasisi ya jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF) Kwa ufadhili wa shirika la uhifadhi…

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Wanaokwenda hijja kuchanjwa tena Uviko-19

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Juni 24,2022 na Mkurugenzi wa Hija wa Bakwata, Alhaj Haidari Kambwili, katika semina ya mahujaji inayofanyika ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es…

Tanzania yaruhusiwa kusafirisha mahujaji 11,000

Tanzania yaruhusiwa kusafirisha mahujaji 11,000

Dar es Salaam. Wakati nchi ya Saudi Arabia ikiruhusu mahujaji milioni moja kote duniani kwenda kuhiji kwa mwaka huu,Tanzania imeruhusiwa kupeleka mahujaji 11,000. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Juni 25,2022 na Mkurugenzi wa Hijja, Alhaji Haidari Kambwili, kwenye semina ya wanaojindaa na safari ya kwenda kuhiji,  iliyofanyika ofisi za makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania…