Makadirio ya zaidi ya dola bilioni 80 za mashambulio ya utawala wa Kizayuni Gaza
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kutokana na mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, ukarabati na ujenzi mpya wa ukanda huo utagharimu zaidi ya dola bilioni 80 na mchakato huo kuchukua miongo minane kukamilika. Katika hali ambayo Ukanda wa Gaza unakabiliwa na uharibifu mkubwa na tani milioni 42 za…
Wakuu wa masuala ya usalama wa Ethiopia na Kenya wajadili mapambano ya pamoja dhidi ya ugaidi
Maafisa wakuu wa masuala ya kiusalama wa Ethiopia na Kenya wamesisitizia haja ya kushirikiana zaidi na kufanya kazi kwa pamoja katika kukabiliana na ugaidi. Shirika la Habari la Ethiopia limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, ujumbe wa Kenya, ukiongozwa na mkuu wa intelijensia, Jenerali Nuredin Mohammed Haji, umekwenda katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa na…
Hasira za nchi za Kiafrika kutoka Ukraine
Katika barua kwa Baraza la Usalama, nchi hizo tatu za pwani ya Afrika zilitangaza kushtushwa na kukubali kwa Ukraine kuunga mkono ugaidi katika bara hilo na kutaka taasisi za kimataifa kuingilia kati suala hilo. Katika barua kwa mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Burkina Faso, Mali na Niger ziliishutumu serikali ya Ukraine…
Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran
Kadiri jibu la Iran kwa kitendo cha kigaidi cha utawala wa Kizayuni wa Israel linavyozidi kuchukua muda mrefu, ndivyo taathira za kimaada, kiroho na kisaikolojia zinavyozidi kuongezeka na kuwaumiza Wazayuni. Kuhusu wakati wa jibu la Tehran kwa utawala wa Israel baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, mwakilishi wa…
“Urais pia ni kazi ya watu weusi”, Michelle Obama amwambia Trump
Michelle Obama amemshambulia mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic uliofanyika jana Jumatano, akikosoa shakhsia yake na mashambulio ya kibaguzi yaliyomlenga yeye na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Barack Obama. Michelle Obama amesema kuhusu Trump kwamba: “Mwono na mtazamo wake finyu na mdogo kuhusu ulimwengu umemfanya…
Odinga aachana na siasa za Kenya, sasa anataka nafasi ya uongozi AU
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Bw Raila Odinga, jana Jumatano, alitangaza kwamba amejiondoa kwenye siasa za Kenya na kuingia katika siasa za Bara la Afrika katika juhudi zake za kuwania uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC). Odinga alisema kuwa hatajishughulisha sana na siasa za Kenya kuanzia sasa ili kuangazia kampeni zake za…
Palestina iko tayari kuimarisha uhusiano na Tanzania
PALESTINE inajitahidi kuimarisha uhusiano wake wa kidiplomasia na njia nyingine za uhusiano na Tanzania ili kukuza ushirikiano wenye manufaa kati ya mataifa hayo mawili. Balozi wa Palestina Hamdi Mansour Abuali ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika mahojiano na ‘Ajenda ya Jumatatu’ na kituo cha Televisheni cha Capital baada ya nchi tatu za Ulaya kulitambua…
Shirika la Afya Dunia (WHO): Mpox sio “Covid” mpya
Shirika la Afya Dunia (WHO) limesema kuwa ugonjwa wa Mpox, pamoja na aina zake mpya na za zamani, sio janga jipya kama “Covid,” kwani maafisa husika wanajua jinsi ya kudhibiti kuenea kwake. Mkurugenzi wa shirika hilo barani Ulaya, Hans Kluge, alieleza – jana katika mkutano na waandishi wa habari – kwamba “Mpox sio Covid mpya; iwe…