Niger: Uturuki yaelekea Afrika
Kufuatia kujiondoa kwa Amerika na Ufaransa nchini Niger, Ankara ilichukua fursa ya kujaza pengo hilo na kuzidisha juhudi zake za kidiplomasia katika kushawishi nchi za bara la Afrika. Katika ripoti iliyochapishwa na tovuti ya “Middle East Eye”, imeelezwa kuwa uhusiano kati ya Uturuki na Niger umeonekana kuimarika, na pande hizo mbili zimetia saini makubaliano ya…
Baraza la Usalama laidhinisha MONUSCO kuipa SADC msaada wa kilojistiki DRC
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kuidhinisha kikosi cha kusimamia amani cha umoja huo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO kutoa msaada wa kiutendaji na wa suhula na zana za kijeshi kwa ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) nchini DRC. Rasimu ya azimio hilo iliyowasilishwa na…
Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa nchi yake inaunga mkono juhudi za Uturuki za kutafuta suluhu na amani kwa mizozo ya kimataifa. “Vilevile tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya watu wa Gaza,” asema Hassan. “Pia tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya…
Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani nchini Bangladesh
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuhamishwa madaraka kwa njia ya amani nchini Bangladesh, akitoa wito wa kuwajibishwa maafisa wa serikali ya nchi hiyo waliohusika na mauaji ya mamia ya watu na kujeruhiwa maelfu ya waandamanaji katika maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali. Volker Türk amesema kuwa uhamishaji…
Serikali yatoa wito kwa Wakenya nchini Lebanon kuhama
Nchi kadhaa zimewataka raia wao kuondoka nchini Lebanon, huku hofu ikiongezeka ya mzozo mkubwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati. Serikali ya Kenya kupitia Idara ya Mambo ya Nje ya Masuala ya Diaspora, imetoa wito kwa raia wake wanaoishi na kufanya kazi nchini Lebanon kujiandikisha ili kuhamishwa mara moja kutokana na hali ya mvutano inayoongezeka…
Tanzania inataka kuwafurusha Wamasai kwa ajili ya wanyamapori – Wenyeji wapinga Hatua hiyo
Wanajamii wanafanya kampeni kwa wafadhili wa kimataifa kufidia serikali yao na kukomesha ukiukaji wa haki. Dar-es-Salaam, Tanzania – Nadharia ya Joseph Oleshangay ni kwamba maafisa wa serikali katika nchi yake, Tanzania, wanaona watu kutoka jamii yake kuwa chini ya wanadamu. Mwanasheria huyo wa haki za binadamu mwenye umri wa miaka 36 na mwanachama wa kundi…
Mali yakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya shambulio la kigaidi
Mali imetangaza kuwa inakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya Ukraine kukiri kuhusika katika shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Msemaji wa Serikali ya Mpito ya Mali, Kanali Abdoulaye Maiga amesema katika taarifa yake kuwa serikali hiyo imegundua, kwa mshtuko mkubwa, matamshi ya kushangaza yaliyotolewa na Andriy Yusov, msemaji wa Shirika…
Jeshi la Bangladesh lilitangaza kuunda serikali ya mpito
Kufuatia kujiuzulu na kukimbia kwa Waziri Mkuu wa Bangladesh, kamanda wa jeshi la nchi hii ya Asia alitangaza kuundwa kwa serikali (mpya) ya muda. Kamanda wa Jeshi la Bangladesh Walker Oz Zaman hii leo (Jumatatu) amethibitisha habari za kujiuzulu na kutoroka kwa Waziri Mkuu Sheikh Hasina na kuwataka raia wa nchi hii “kusimamisha vurugu na…