Habari

Shahidi Haniyah  ameidhinisha kuangamizwa kwa Israel: Ustad Syed Jawad Naqvi

Shahidi Haniyah ameidhinisha kuangamizwa kwa Israel: Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Msikiti wa Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 2 Agosti 2024   Hotuba ya Kwanza: Tayyib na Halal vinapaswa kuwa msingi wa maisha yetu ya kiuchumi Hotuba ya Pili: Shahidi Haniyah h ameidhinisha kuangamizwa kwa Israel…

Jeshi la SEPAH latoa taarifa kuhusu kuuawa shahidi Ismail Haniya

Jeshi la SEPAH latoa taarifa kuhusu kuuawa shahidi Ismail Haniya

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS alivyouawa hapa mjini Tehran. Taarifa ya SEPAH inaeleza kuwa, jinai hiyo ya kigaidi iliyopelekea kuuawa shahidi Ismail Haniya ilipangwa na kutekelezwa…

Shambulizi la kigaidi katika mji mkuu wa Somalia lasababisha vifo vya watu 30

Shambulizi la kigaidi katika mji mkuu wa Somalia lasababisha vifo vya watu 30

Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, takriban watu 30 waliuawa katika shambulizi la kigaidi usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Somalia. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA ya Ijumaa usiku kutoka Shirika la Habari la Tas, walioshuhudia wameripoti ufyatuaji risasi na milipuko ya guruneti mjini Mogadishu. Pia, vyombo vya habari vya…

Je, utawala wa Kizayuni unakaribia malengo yake kwa kitendo cha ugaidi?! Vyombo vya habari vya Israeli vinajibu

Je, utawala wa Kizayuni unakaribia malengo yake kwa kitendo cha ugaidi?! Vyombo vya habari vya Israeli vinajibu

Baada ya kuuawa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas mjini Tehran, vyombo vya habari vya Israel vimechunguza iwapo mauaji hayo yameufanya utawala huo kuwa karibu na malengo yake tangu kuanza kwa vita dhidi ya Ghaza, yaani kuangamizwa Hamas. Kwa mujibu wa ripoti ya Al-Alam, ikinukuu Al Jazeera, vyombo vya habari vya utawala…

Tume ya uchaguzi nchini Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa 2026

Tume ya uchaguzi nchini Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa 2026

Tume ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imetangaza ramani ya uchaguzi iliyorekebishwa ikitangaza tarehe ya uchaguzi wa rais na wabunge wa 2026. Jaji Simon Byabakama, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi  amesema uteuzi wa wagombea urais na ubunge utafanywa kati ya Septemba 17 na Oktoba 3, 2025. Byabakama alisema kampeni hizo zitaanza wiki ya pili ya Oktoba…

Watu watatu wameuawa nchini Nigeria katika maandamano ya kupinga gharama kubwa ya maisha

Watu watatu wameuawa nchini Nigeria katika maandamano ya kupinga gharama kubwa ya maisha

Takriban waandamanaji watatu wameuawa katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria siku ya Alhamisi, katika maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha na utawala mbovu. Msemaji wa polisi wa jimbo la Kaduna, Mansur Hassan, amesema polisi waliwarushia waandamanaji mabomu ya kutoa machozi na sio risasi za moto. Pia polisi walifyatua gesi ya kutoa machozi katika…

Tel Aviv yatoa onyo la kusafiri kwa wakazi wake

Tel Aviv yatoa onyo la kusafiri kwa wakazi wake

Baraza la Usalama la utawala wa Kizayuni liliwaonya Waisraeli kuhusu kusafiri katika “nchi zenye hatari”. Baraza la Usalama la Israel limewaonya Wazayuni dhidi ya kusafiri katika nchi 40 na kuwataka Waisraeli kwingineko kuchukua hadhari za ziada, ikiwa ni pamoja na kuepuka kuonesha utambulisho wao wa Israel au Wayahudi. Kwa mujibu wa gazeti la Kizayuni la…

Kinyang’anyiro cha Israeli Afrika: Uuzaji maji, silaha na uwongo

Kinyang’anyiro cha Israeli Afrika: Uuzaji maji, silaha na uwongo

Israel inajaribu kuandika historia upya kwa malengo ya kugusa mioyo ya Waafrika wa kawaida, Je itafanikiwa? Kwa miaka mingi, Kenya imetumika kama lango la Israeli kwa Afrika. Israel imekuwa ikitumia uhusiano mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili kama njia ya kupanua ushawishi wake katika bara hilo na kuyageuza mataifa mengine…