Umoja wa Mataifa yatoa wito kwa Kenya kujizuia dhidi ya waandamanaji
Msemaji huyo wa Umoja wa Mataifa alitangaza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anavitaka vikosi vya polisi vya Kenya vizuiwe mbele ya waandamanaji katika mji mkuu wa nchi hiyo. “Tunafuatilia kinachoendelea Nairobi na Kenya, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni wazi ana wasiwasi mkubwa kuhusu ghasia zilizoripotiwa kuhusiana na maandamano…
Mapigano makali mjini Khartoum
Mapigano makali kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya msaada wa haraka yameanza tena katika eneo la karibu na makao makuu ya vikosi vya kijeshi kusini mwa Khartoum. Vyanzo vya habari vya Sudan vimeeleza kuwa mzozo kati ya pande hizo mbili ulianza mapema asubuhi na unaendelea, na kuongeza kuwa pande zote mbili zilitumia silaha…
Kutoweka watoto katika Ukanda wa Gaza
Kwa mujibu wa ripoti mpya zilizochapishwa na shirika la kimataifa linaloitwa “Save the Children”, watoto wapatao elfu 21 wa Kipalestina wametoweka huko Ukanda wa Gaza, ambapo watoto elfu 17 wametenganishwa na familia zao kutokana na vurugu zilizosababishwa na vita, hasa operesheni za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo. Watoto wengine elfu nne…
Times of Israel: Misri na UAE zajiandaa kushiriki katika mpango wa kuilinda Gaza
Gazeti la Israel la The Times of Israel lilitangaza kuwa Misri na Imarati zimeshirikiana kwa masharti , ikiwa ni pamoja na kutaka mpango huo uhusishwe na kuundwa kwa njia ya kuelekea taifa la Palestina. Gazeti la Kizayuni la Times of Israel likiwanukuu maafisa wa utawala huo, limesisitiza kuwa Misri na Imarati ziko tayari kushiriki katika…
Mahakama yathibitisha kifungo cha maisha kwa waziri mkuu wa zamani wa Burundi
Mahakama nchini Burundi imethibitisha kifungo cha maisha jela dhidi ya jenerali Alain Guillaume Bunyoni waziirii mkuu wa zamani wa nchi hiyo. Alipatikana na hatia mwezi Disemba mwaka jana kwa makosa mengi ya jinai ikiwa ni pamoja na kujaribu kupindua serikali, kumiliki utajiri kinyume cha sheria, kuhujumu uchumi na vitisho kwa maisha ya rais na taasisi…
Amerika yaomba kuwe na vizuizi kwa mamlaka ya Kenya, na kutoa fursa kwa waandamanaji
Kufuatia vifo vya watu 23 na kujeruhiwa kwa makumi ya watu katika maandamano katika nchi hiyo ya Kiafrika ya Kenya, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alizitaka mamlaka za nchi hio kuzuiwa ili kutoa nafasi ya mazungumzo kwa waandamanaji. Kufuatia kuidhinishwa kwa sheria ya ongezeko la ushuru na bunge la Kenya na…
Watu 10 wamefariki katika maandamano nchini Kenya
Vyanzo vya hospitali katika mji mkuu wa Kenya viliripoti kuwa takriban watu 10 waliuawa katika maandamano ya kupinga sheria ya kodi. Nairobi, mji mkuu wa Kenya, ulikuwa uwanja wa maandamano makubwa dhidi ya sheria mpya ya kodi leo (Jumanne); Ili waandamanaji waliweza kuingia katika jengo la bunge la nchi hii kwa dakika chache. Kwa mujibu…
Jenerali wa Kizayuni: Kutangaza vita dhidi ya Hezbollah ni kujiua kwa pamoja
Jenerali huyo mstaafu wa jeshi la Kizayuni alipokua akionya dhidi ya kutangaza vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon, alidokeza ya kua kitendo hicho ni sawa na kujitakia mauti ya pamoja kwenye utawala huo. “Ishaq Brik”, jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni aliandika katika makala iliyochapishwa katika gazeti la Israel “Ma’ariv”: “Viongozi wa kijeshi…