Mashirika 19 ya kimataifa yanaonya kuhusu njaa inayokaribia nchini Sudan
Wakuu wa mashirika 19 ya kimataifa walionya kuwa nchi hiyo itakabiliwa na “njaa inayokaribia” ikiwa pande zinazohusika katika mzozo nchini Sudan zitaendelea kuzuia mashirika ya kibinadamu kutoa msaada kwa wahitaji. Kwa mujibu wa ripoti hii wakuu wa mashirika 19 ya misaada ya kibinadamu yakiwemo mashirika 12 ya kimataifa wametahadharisha katika taarifa yao kwamba, ongezeko la…
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya washirika wa Wagner katika Afrika ya Kati
Wizara ya Fedha ya Marekani ilitangaza Alhamisi kwamba imeziweka kampuni mbili za Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye orodha yake ya vikwazo. kampuni hizo zimekua na uhusiano na Kundi la Russia la Wagner. Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Hazina ya Marekani, makampuni haya mawili yenye majina ya Saarlo Mining Industries na Saarlo Economic…
Mwanasoka aliyekataa kuunga mkono ‘ushoga’ afungiwa kucheza mechi nne Ufaransa
Kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Monaco ya Ufaransa Mohamed Camara amefungiwa kucheza mechi nne za ligi ya nchi hiyo baada ya kuficha kwenye jezi yake ujumbe wa kutetea vitendo vichafu vya maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja wakati wa mechi ya mwisho ya ligi ya klabu hiyo msimu huu. Kamati…
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lazima jaribio la waasi wa M23
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa, limezima jaribio jengine la waasi wa M23 la kuutwaa mji wa Sake ulioko Kivu Kaskazini, wakati mapigano yakiripotiwa kwenye miji mingine ya Rutshuru na Lubero. Taarifa zaidi zinasema kuwa, mizinga na aina nyingine za kombora zilitumiwa na pande zote mbili, huku jeshi la serikali likivurumisha mabomu…
Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi
Marekani na Umoja wa Ulaya zaichagua Kenya kujiunga na Ushelisheli katika kukabiliana na washukiwa wa baharini kando ya Bahari ya Hindi. Hii ni baada ya nchi kadhaa kuzua taharuki kutokana na vitisho vinavyotolewa na kundi la wa Houthi kutoka nchini Yemen na wengine kutoka Somalia. Kulingana na Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya, Kenya…
TZ yaitoa hofu UNHCR: Hatutafunga kambi wala kuwalazimisha wakimbizi warudi makwao
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema limepewa hakikisho na Serikali ya Tanzania kwamba kambi ya wakimbizi ya Nduta inayowapa hifadhi wakimbizi wa Burundi haitafungwa na wala wakimbizi hao hawatalazimishwa kurudi makwao. Hakikisho hilo limetolewa na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tanzania baada ya taarifa za habari zilizokuwa zimesambazwa…
Mashauriano ya nchi za Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni
Israel kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya kutokana na jinai zake Rafah Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ireland amesema kuwa, kwa mara ya kwanza Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya wamejadili kwa kina uwezekano wa kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni iwapo hautatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ya…
Mkuu wa zamani wa Mossad: Kusitisha vita ndiyo njia pekee ya kuwarudisha mateka kutoka Gaza
Mkuu huyo wa zamani wa wakala wa kijasusi wa Kizayuni (Mossad) alikiri kwamba kusimamisha vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza na kukubali ushindi wa muqawama wa Palestina ndiyo njia pekee ya kuwakomboa wafungwa wa Kizayuni. Kutoka kwa shirika la habari la Palestina “Sama”, “Tamir Pardo” katika mazungumzo na vyombo vya habari vya utawala unaowakalia kwa…