Maendeleo ya hivi punde nchini Ukraine, Urusi ipo tayari kwa sehemu ya pili ya mazungumzo
Mashambulizi ya makombora na mizinga ya Urusi katika miji ya Ukraine yanaendelea, na ripoti kuwa mji wa Kherson ulioko kusini mwa Ukraine umetekwa na vikosi vya Urusi. Shirika la Kimataifa la Habari la Fars – Mapigano nchini Ukraine yameingia siku ya saba leo, Jumatano, huku mashambulio ya makombora na mizinga ya Urusi yakiendelea. Vyanzo vya…
Balozi wa Russia Iran: Nchi za Magharibi hazina ustahiki wa kuilaani Russia
Ubalozi wa Russia nchini Iran umejibu ujumbe wa Twitter wa balozi wa Uingereza nchini Iran kuhusu matukio ya Ukraine na kusema, madola ya Magharibi hayana ustahiki wa kuilaani Russia. Balozi wa Uingereza nchini Iran Simon Schercliff, amesambaza picha katika ukurasa wake wa Twitter inayoonesha bendera ya Ukraine ikiwa imepandishwa katika Ubalozi wa Uingereza mjini Tehran….
Ayyatullah Khamenei: Tunaunga mkono usitishaji wa vita nchini Ukraine
Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo kwa mnasaba wa maadhimisho ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad (saw) na kubainisha kwamba: Kinyume na maoni ya wale wanaoichukulia dini kuwa tofauti na siasa, maisha na serikali, kilele cha harakati ya utume wa mtume Muhammad ni uundaji wa serikali. Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa,…
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Vikosi vya nyuklia vilianza shughli zake kulingana na amri ya Putin
Waziri wa Ulinzi wa Russia alitangaza kuanza kwa majukumu ya vikosi vya kimkakati vya nchi hiyo kufuatia amri ya Rais Vladimir Putin wa Russia. Kulingana na vyanzo vya habari, Waziri wa Ulinzi wa Urusi alitangaza alasiri ya Jumatatu tarehe 28/2/2022 kwa majira ya Tehran: “Kwa kufuatia agizo la Rais, nyadhifa za Kamanda wa Kikosi cha…
Ubabe wa Marekani wafikia ukingoni
Mkuu wa sera za kigeni katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) amesema moja kati ya mafunzo yanayopatikana katika vita vya Russia na Ukraine ni kuwa, zama za ubabe wa Marekani duniani zimefika ukingoni. Moussa Abu Marzouk mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas na ambaye pia ni mkuu wa sera za kigeni katika harakati hiyo…
Mazungumzo ya Russia na Ukraine mjini Belarus hayajulikani hatima yake
Televisheni ya taifa ya Russia imetangaza kuwa duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya wajumbe wa nchi hiyo na Ukraine imemalizika nchini Belarus, lakini haijafahamika iwapo mazungumzo hayo yataendelea au la. Mazungumzo yana lengo la kuzima moto wa vita vilivyoanza Alkhamisi iliyopita kati ya nchi hizo mbili. Awali mkuu wa timu ya mazungumzo ya Russia huko…
Chama cha upinzani Morocco chalaani pupa ya serikali ya nchi hiyo ya kupatana na Wazayuni
Chama cha upinzani cha “al Adala wa al Tanmiya” cha Morocco kimelaani ziara ya waziri wa uchumi na viwanda wa utawala wa Kizayuni nchini humo. Chama hicho kimetoa taarifa rasmi na kusema kuwa kinalaani kwa nguvu zote ziara ya waziri wa uchumi na viwanda wa utawala wa Kizayuni mjini Rabat na pupa ya Morocco ya…
Jeshi la Yemen laitungua droni ya pili ya Marekani katika mkoa wa Ma’rib
Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi zimeitungua ndege ya pili isiyo na rubani iliyoundwa na Marekani. Katika miezi kadhaa iliyopita, jeshi la Yemen limefanikiwa kuzitungua droni kadhaa za muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia zilizokuwa zikitekeleza operesheni za hujuma katika maeneo mbalimbali ya ardhi ya Yemen. Msemaji wa vikosi…