Algeria inasisitiza kudumisha usalama katika nchi za Kiarabu zilizopo pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi
Rais wa Algeria aliyezuru Kuwait, alisisitiza haja ya kudumisha usalama katika mataifa ya pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi. Rais wa Algeria, Abdel Majid Teboun alisema kuwa nchi yake haitakubali kamwe kwamba usalama wa mataifa ya Ghuba ya Uarabuni utaingiliwa. Kulingana na gazeti la “Rai Al-Youm”, Akizungumza kuhusu Waalgeria walio wachache nchini Kuwait Jumanne usiku (jana…
Iran: hatutavuka mistari miekundu katika mazungumzo ya Vienna
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu imezifahamisha nchi za Magharibi kuwa katu haitavuka mistari yake miekundu katika mazungumzo ya Vienna ambayo yanalenga kuhuisha mapatano ya JCPOA. Akizungumza mjini Tehran Jumatano akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Oman Sayyid Badr al-Busaidi, Amir-Abdollahian amesema, Jamhuri ya…
Umoja wa Mataifa: kukithiri kwa mashambulio dhidi ya wakimbizi DRC ni jambo lenye kushtua
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na washirika wake wameeleza kushtushwa na ripoti za mashambulizi nane makubwa yaliyotokea katika siku 10 za mwanzo wa mwezi huu wa Februari katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa ya UNHCR iliyotolewa mjini Geneva Uswisi inaeleza kuwa mashambulizi yaliyosababisha watu kuuawa, kutekwa…
Raisi: Ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Wairani wanaoshi Qatar kuwa ipo azma thabiti ya kupanua uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na Qatar. Rais Sayyid Ebrahim Rais wa Iran jana usiku alikutana na Wairani wanaoishi Qatar na huku akibainisha kwamba maingiliano ya watu wa nchi za eneo hili…
Shambulio la kigaidi magharibi mwa Nigeria, 14 wauawa huku 15 wakitekwanyara
Magaidi wenye silaha wamevishambulia vijiji viwili katika jimbo la Niger magharibi mwa Nigeria na kuua watu 14 na kuwateka nyara wengine 15. Gazeti la Tribune la nchini Nigeria limeripoti kuwa, magaidi waliokuwa na silaha jana Jumatatu waliwafyatulia risasi na kuwaua wakazi 14 wa vijiji hivyo viwili katika jimbo la Niger magharibi mwa nchi hiyo sambamba…
Harakati zinazotia shaka katika mkoa wa Al-Mohra nchini Yemen; Kuwasili kwa maafisa wa Kizayuni
Duru za habari za serikali iliyojiuzulu ya Yemen zimetangaza ujio wa idadi ya watu kadhaa ya maafisa wa Kizayuni katika mkoa wa kistratijia wa Al-Mohra ulioko mashariki mwa Yemen. Duru za habari za serikali iliyojiuzulu ya “Abd al-Mansour Hadi” huko Yemen zimetangaza kuwasili kwa idadi mpya ya maafisa wa utawala wa Kizayuni katika mkoa wa…
Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine
Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa rais wa Urusi ameitaka Wizara ya Ulinzi ya Urusi kutia saini makubaliano na mikoa ya Donetsk na Luhansk iliyoko mashariki mwa Ukraine ili kutuma wanajeshi kulinda amani katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, baada ya uamuzi wa Rais wa Urusi Vladimir…
Hizbullah : Tumeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wa kivita tuloinao
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema imeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wake wa kivita ambao umeushtua na kuudhalilisha utawala wa Kizayuni wa Israel. Mwenyekiti wa ‘Mrengeo wa Muqawama’ (Mapambano ya Kiislamu)’ ambao ni tawi la kisiasa la Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema mafanikio ya ndege isiyo na rubani au drone…