Habari

Muungano vamizi wazidi kushambulia mji mkuu Sana’a na miji mingine

Muungano vamizi wazidi kushambulia mji mkuu Sana’a na miji mingine

Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia na Imarati unaendelea kufanya jinai dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa nchi ya Kiarabu ya Yemen. Tangu mwezi Machi 2015 hadi hivi sasa, kila siku wananchi wasio na hatia wa Yemen wanamiminiwa mabomu na makombora na wavamizi wa nchi yao wanaoongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Falme za…

Sheikh Maher Hammoud; Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria

Sheikh Maher Hammoud; Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria

Sheikh Maher Hammoud, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Muqawama amesema katika mahojiano kwamba Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria. Sheikh Maher Hammoud, katibu mkuu wa Muungano wa Wanazuoni wa Muqawama nchini Lebanon amezungumza na Radio Al-Noor kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran siku ya Alhamisi. Katika mahojiano na ‘Al-Siyasah Al-Youm’ , Sheikh Maher…

Syria yapinga Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah

Syria yapinga Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao wakieleza kwamba hatua hiyo ni uhalifu wa kivita. Taarifa hiyo ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetolewa baada ya walowezi wa Kizayuni kuendeleza…

Bunge la Ethiopia lapiga kura ya kusitishwa mapema hali ya hatari ya miezi sita

Bunge la Ethiopia lapiga kura ya kusitishwa mapema hali ya hatari ya miezi sita

Hatua hiyo ni ishara kwamba mzozo wa umwagaji damu kati ya serikali na vikosi vya waasi wa Tigray unaweza kupungua. Uamuzi wa Bunge la Ethiopia utaanza kutekelezwa hivi karibuni. Ethiopia ilitangaza hali ya hatari mwezi Novemba mwaka jana baada ya vikosi vya wapiganaji wa Tigray kuvamia maeneo zaidi ya Ethiopia na kutishia mji mkuu wa nchi hiyo, Addis…

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Leo Jumapili tarehe 13 Rajab mwaka 1441 Hijria sawa na Tarehe 8 mwezi Machi mwaka 2020 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (A.S) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni. Ali bin Abi Twalib (as) alizaliwa katika nyumba tukufu ya al Kaaba tarehe 13 Rajab miaka 23 kabla ya Hijra ya Mtume (saw)…

Marekani yazidi kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni

Marekani yazidi kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni

Ndege za kivita za Marekani aina ya F-22 zimeshuhudiwa zikiwasili katika Kituo cha Ndege za Kivita cha Al-Dhafra siku ya Jumamosi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa Jeshi la Anga la Marekani, kutumwa kwa ndege hizo za kivita kunafuatia mapatano baina ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, na Mrithi…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali akutana na Amir-Abdollahian hapa Tehran

Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali akutana na Amir-Abdollahian hapa Tehran

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran leo Jumapili na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali aliyeko ziarani hapa nchini. Abdoulaye Diop Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali ambaye yuko ziarani hapa nchini kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa…

Mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa,  kumbukumbu ya miaka 11

Mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa, kumbukumbu ya miaka 11

Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.Mchambuzi wa mambo kutoka  Marekani, Graham Fuller ameangazia hali ya Waislamu wa Bahrain na kusema: “Waislamu wa Bahrain ni watu waliosahauliwa.”  Mtazamo huu kuhusu Waislamu wa Bahrain umeonekana waziwazi katika miaka 11 iliyopita. Watu…