Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano mzuri wa Iran na Russia ni uhusiano wa kistratejia
Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna mipaka yoyote katika njia ya kupanua uhusiano wa taifa hili la Kiislamu na Russia na kwamba, uhusiano wa Tehran na Moscow upo katika kiwango cha mahusiano ya kistratejia. Rais wa Iran amesema hayo katika mazungumzo yake mjini Moscow na Rais Vladimir Putin wa…
Tel Aviv inahofia jeshi la Yemen huenda likavamia maeneo yanayomilikiwa kimabavu
Vyanzo vya Habari kwa lugha ya Kiebrania viliripoti kuwa Tel Aviv inachunguza shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Abu Dhabi kwa kuhofia mashambulizi kama hayo katika maeneo yaliyokaliwa na kumilikiwa kimabavu. Jana (Jumanne) Idhaa ya Kiebrania ya Kan iliripoti kwamba Tel Aviv ilikuwa ikichunguza ripoti za shambulio la ndege isiyo na rubani ya Sanaa…
Yemen: Tutausambaratisha uchumi wa Imarati endapo itaendelea kuua watu wetu
Kamanda Mkuu wa majeshi ya Yemen ameionya vikali nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kusisitiza kuwa, kama Abu Dhabi itaendelea kushiriki katika mashambulizi na jinai dhidi ya wananchi wa Yemen, basi wanamapambano wa Yemen watasambaratisha uchumi wa UAE unaotegemea uwekezaji wa kigeni. Mahdi al-Mashat ambaye pia ni Mkuu wa Baraza Kuu la…
Hatua za Israel za kuongeza mvutano kati ya Algeria na Magharibi (Morocco)
Mvutano kati ya Morocco na Algeria umeongezeka tangu ziara ya hivi majuzi ya Waziri wa Vita wa Israel Benny Gantz nchini Morocco na kutiwa saini mkataba wa ushirikiano wa kiusalama kati ya pande hizo mbili, kulingana na Shirika la Habari la Fars. Gazeti la Kizayuni la “Jerusalem Post” lilijibu ripoti ya gazeti la Ufaransa la…
Jeshi la wanamaji la Iran; mlinda usalama katika eneo la maji ya kimataifa
Kamanda wa kikosi cha wanamaji cha jeshi la Iran amesema, kulinda usalama na kuvipa msaada vyombo vya baharini na pia kuonyesha uwezo wa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu sambamba na kufikisha ujumbe wa amani na urafiki, ndio malengo ya Iran ya kuwepo kijeshi kwenye eneo la maji ya kimataifa. Admeri Shahram Irani, ameashiria malengo ya…
Iran yatoa ombi la kuondolewa kwa mzingiro wa kidhalimu nchini Yemen
Ali Asghar Khaji, Mshauri Mwandamizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Hans Grundberg, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili matukio ya hivi karibuni nchini Yemen. Akiashiria hali ya kusikitisha ya wananchi wa Yemen na hali ngumu sana inayotokana na vita na mzingiro…
Watu 9 wauawa na kujeruhiwa nchini Imarati baada ya mashambulizi ya Wayemen
Faraan : Ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen yameshambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Televisheni ya al Mayadeen imeripoti habari hiyo na kusema kuwa, shambulio hilo limetokea leo Jumatatu ambapo kwa…
Jihad Islami: Israel imesambaza kwa makusudi virusi vya corona baina ya mateka wa kike wa Kipalestina
Mjumbe mwandamizi wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umesambaza kwa makusudi virusi vya corona katika jela ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa na utawala huo. Faraan: Amina Hamid amesema kuwa utawala haramu wa Israel umeingiza kwa makusudi virusi vya corona katika jela ya mateka wa kike wa Kipalestina…