Habari

Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon

Hizbullah: Marekani, Saudia wahusika wakuu wa vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon

Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya Lebanon. Faraan: Sheikh Ali Da’mush, Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbuullah ya Lebanon amebainishah kwamba, kuna vita vichafu vya…

Palestina yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu njama za Israel dhidi ya Quds

Palestina yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu njama za Israel dhidi ya Quds

Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu njama za utawala haramu wa Israel za kuuyahudisha mji wa Quds (Jerusalem) na ujenzi wa vitongoji haramu katika ardhi za Palestina. Faraan: Katika taarifa, Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina, imesema utawala haramu wa Israel uko mbioni kutekeleza mipango ya…

Taliban yaitaka Amerika kuheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan

Taliban yaitaka Amerika kuheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan

Serikali ya Taliban imeitaka Washington itekeleze mwito uliotolewa hivi karibuni na Umoja wa Mataifa, wa kuachia fedha za Afghanistan zilizozuiwa nchini Marekani. Msemaji wa Taliban, Zabihullah Mujahid alitoa mwito huo katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter hapo jana na kueleza kuwa: Marekani inapaswa kutoa jibu chanya kwa mwito wa jamii ya kimataifa,…

Gazeti la Marekani: Mazungumzo kati ya Iran na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi yanashamiri

Gazeti la Marekani: Mazungumzo kati ya Iran na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi yanashamiri

Likirejelea kushindwa kwa mashinikizo makubwa ya Trump dhidi ya Iran, gazeti moja la Marekani liliandika kwamba Waarabu wa Ghuba ya Uajemi wanaweza kuiona Iran kama mhusika wa eneo hilo. Gazeti la Marekani la “Christian Science Monitor” limeandika kwamba, kuna mambo kadhaa yanayozingatia kubadilika kwa misimamo ya Waarabu wa Ghuba ya Uajemi katika kufungua mlango wa…

Iran na Saudia kuhuisha mahusiano, Balozi kufunguliwa tena hivi karibuni

Iran na Saudia kuhuisha mahusiano, Balozi kufunguliwa tena hivi karibuni

Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa. Mbunge huyo wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Jalil Rahimi Jahan-Abadi amesema hayo katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mapema…

Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina

Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina

Makumi ya waigizaji nyota wa filamu duniani wamejitokeza na kutangaza kumuunga mkono muigizaji mwenzao wa Uingereza, Emma Watson, ambaye hivi karibuni alishambuliwa vikali na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina. Faraan: Waraka uliosaniwa na zaidi ya waigizaji 40 mashuhuri…

Jihadul-Islami: Muqawama utaendelea kuunga mkono Intifadha ya wakazi wa Ufukwe wa Magharibi

Jihadul-Islami: Muqawama utaendelea kuunga mkono Intifadha ya wakazi wa Ufukwe wa Magharibi

Msemaji wa Harakati ya Jihadul-islami ya Palestina amesema, muqawama unaunga mkono intifadha na mwamko wa wakazi wa Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya wazayuni. Faraan: Tariq Izzuddin ametoa msimamo huo kutokana na kushtadi hatua za kiuadui za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wakazi Wapalestina wa eneo la An-Naqb katika Ufukwe wa…

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Hasira zimeenea miongoni mwa watu wa Yemen baada ya kuenea picha zinazowaonyesha “watalii” kutoka utawala haramu wa Israeli wakitembelea kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). aarifa zinasema UAE ndiyo iliyowaingiza ‘watalii’ hao Waisraeli katika kisiwa hicho cha Yemen. Picha zimesambazwa zikiwaonyesha Waisraeli hao…