Habari

Iran yafanya majaribio ya chombo cha kurusha satelaiti kinachotumia fueli mango

Iran yafanya majaribio ya chombo cha kurusha satelaiti kinachotumia fueli mango

Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran imefanyia majaribio yaliyofana injini ya kwanza ya Iran yenye kubeba satalaiti katika anga za mbali ambayo inatumia fueli mango. Akizungumza Alhamisi mjini Qum, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha IRGC Jenerali Amir-Ali Hajizadeh amesema: “Katika majaribio hayo yaliyofana, injini…

Tamasha la wanawake wanaodansi “Samba” barabarani Jazan lazusha taharuki Saudia

Tamasha la wanawake wanaodansi “Samba” barabarani Jazan lazusha taharuki Saudia

Kuonyeshwa taswira za wanawake wanaodansi katika bararaba za mji wa Jazan nchini Saudi Arabia kumezusha taharuki na makelele mengi ya upinzani katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pamoja na hasira na manung’uniko ya wananchi dhidi ya utendaji wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo. Faraan: Vyombo mbalimbali vya habari vimeakisi wimbi la hasira…

Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya. Umma wa Kiislamu umetumbikia katika majonzi makubwa kufuatia kuaga dunia Sheikh Abdillahi Nassir, ambaye alitumia umri wake wote uliojaa baraka kuhudumia Uislamu na Waislamu hususan wa kanda ya Mashariki na katikati mwa Afrika Sheikh…

Naibu Kamanda wa Jeshi Asuta Vitisho vya Kijeshi vya Israeli

Naibu Kamanda wa Jeshi Asuta Vitisho vya Kijeshi vya Israeli

TEHRAN – Naibu Kamanda wa Jeshi la Iran Brigedia Jenerali Mohammad Hossein Dadras alipuuza vitisho vya kijeshi vya Israeli dhidi ya taifa lake, lakini wakati huo huo alionya juu ya jibu kali la Iran kwa hatua yoyote ya kipumbavu ya Tel Aviv. Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa sawa na Iran madarakani, Jenerali Dadras…

Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vyafedheheka na kukanganyika katika vita vya Yemen

Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vyafedheheka na kukanganyika katika vita vya Yemen

Saudi Arabia, ambayo imeshindwa vita vya Yemen, inaonekana kuchanganyikiwa kutokana na makosa yake katika vyombo vya habari. Mwaka wa saba wa vita vya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen unaelekea kumalizika huku muungano huo ukiendelea kupata vipigo mtawalia kimoja baada ya kingine. Vikosi vya jeshi la Yemen vinazidi kuimarika katika vita vya nchi kavu, anga na…

Wanajeshi wa Kizayuni waendelea na ubomozi wa nyumba za Wapalestina

Wanajeshi wa Kizayuni waendelea na ubomozi wa nyumba za Wapalestina

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba 11 za raia wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel leo Jumatano wamebomoa nyumba 11 , kituo cha huduma mbali mbali na kisima cha maji ya Wapalestina katika eneo…

Kamanda wa IRGC: Hakuna Maeneo Salama kwa Maadui

Kamanda wa IRGC: Hakuna Maeneo Salama kwa Maadui

TEHRAN – Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema kuwa, maadui wa Iran wamedhoofika sana na wameshindwa kiasi kwamba hakuna eneo salama lililobaki kwao. “Sisi ni washindi leo na hivi ndivyo ukweli ulivyo uwanjani,” Jenerali Salami alisema, akihutubia katika hafla huko Tehran Jumapili jioni. “Leo hii, mapanga…

Iran yaikosoa Marekani kwa kuingiza udikteta kwenye michezo

Iran yaikosoa Marekani kwa kuingiza udikteta kwenye michezo

Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeikashifu na kuikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kususia Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi Kali itakayofanyika huko Beijing, China. Reza Salehi Amiri, Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Iran katika barua yake kwa mwenzake wa China, Jung Wengu…