Habari

Saudi Arabia yaituhumu Hizbullah ya Lebanon

Saudi Arabia yaituhumu Hizbullah ya Lebanon

Madai na tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon zinaendelea kutolewa katika hali ambayo, makundi ya kisiasa ya Lebanon yanajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge uliopangwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu (2022). Hujuma na tuhuma za utawala wa kifamilia wa Aal Saud dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya…

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Televisheni ya Sky News ya lugha ya Kiarabu imetoa ufafanuzi kuhusu mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan. Kwa mujibu wa televisheni hiyo, mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan una vipengee vinne ambapo kipengee muhimu zaidi ni kuvunjwa Baraza la Utawala na nafasi yake kuchukuliwa na…

Sheikh Naim Qassem: Hizbullah itatoa jibu kali kwa Saudi Arabia

Sheikh Naim Qassem: Hizbullah itatoa jibu kali kwa Saudi Arabia

Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu harakati hiyo na kusema kuwa, hatua hiyo inachochea machafuko nchini Lebanon na kwamba Hizbullah itatoa jibu kali kwa uchochezi huo. Sheikh Naim Qassem ambaye alikuwa akizungumza kwa mnasaba wa kukumbuka mwaka wa pili wa kuuawa…

Waingereza wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini baada ya kusalimu amri

Waingereza wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini baada ya kusalimu amri

Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini, Nathi Mthethwa ambaye alipinga vikali hatua ya Uingereza ya kutaka kuupiga mnada ufunguo huo. Waziri Mthethwa amesema, “ufunguo huo ambao ulipangwa kupigwa mnada New York tarehe 28…

Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, huku  wakiupinga ufadhili wa Israel

Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, huku wakiupinga ufadhili wa Israel

Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo. Ususiaji huo wa wasanii umekuja baada ya Israel kuorodheshwa kama “Star Partner” wa tamasha hilo la kila mwaka kwa kutoa dola 20,000…

Iran yaikashifu WSJ ya U.S kwa kuchapisha makala yasiyoridhisha

Iran yaikashifu WSJ ya U.S kwa kuchapisha makala yasiyoridhisha

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikosoa vikali gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kwa kuchapisha makala ya kipumbavu na ya kihasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, wakati huu wa kuendelea kufanyika mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Iran huko Vienna. Taarifa ya Ubalozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hatua ya gazeti…

Ushindi wa Abu Hawash baada ya kushikwa mateka kwa siku 141 za vita “bila ya chochote tumboni”

Ushindi wa Abu Hawash baada ya kushikwa mateka kwa siku 141 za vita “bila ya chochote tumboni”

Shirika la habari la Palestina lilizungumza na Shirika la Habari la Ma’an kuhusu kesi ya Hisham Abu Hawash, ambaye alikuwa kwenye mgomo wa kula kwa siku 141, ilifungwa baada ya shinikizo kubwa kwa nchi ya Israeli. Shirika hilo lilisisitiza kuwa, makubaliano yalifikiwa kuashiria kwamba Abu Hawash ataachiliwa huru Februari tarehe 26 bila kuongezwa muda na…

Amerika, EU Waonya Wanajeshi Wa Sudan Dhidi Ya Kutwaa Uwaziri Mkuu

Amerika, EU Waonya Wanajeshi Wa Sudan Dhidi Ya Kutwaa Uwaziri Mkuu

AMERIKA, Uingereza, Norway na Umoja wa Ulaya (EU) zimeonya vikali wanajeshi wa Sudan dhidi ya kuteua mwanajeshi kuwa waziri mkuu kufuatia kujiuzulu kwa kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok wiki iliyopita. Mataifa hayo, kupitia taarifa ya pamoja, jana yalisema kuwa hayataunga mkono waziri mpya iwapo atakuwa mwanajeshi. Mataifa hayo yalitoa wito wa kuendelea kwa maandalizi ya…