Aina mpya ya virusi vya corona ya IHU yagunduliwa Ufaransa, inabadilika zaidi kuliko omicron
Wanasayansi nchini Ufaransa wamegundua spishi mpya ya corona ya B.1.640.2 ambayo imepewa jina la IHU, ambayo wanasema inabadilika kwa kasi zaidi kuliko ile ya omicron iliyogunduliwa nchini Afrika Kusini mwezi Novemba mwaka jana. Inasemekana kuwa spishi mpya ya IHU huenda asili yake ikawa nchini Cameroon baada ya watu 12 waliopatikana karibu na mji wa Marseilles wakiwa wameambukizwa…
Irani yaadhimisha mazishi ya mashahidi 250, Kiongozi Muadhamu azungumza
Wananchi wa Iran wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya mashahidi wao 250 waliouawa wakati wa vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu vilivyoanzishwa na utawala wa kidikteta wa Saddam wa Iraq dhidi ya dola changa wakati huo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mazishi hayo yamefanyika leo Alkhamisi sambamba na kumbukuku ya siku ya kufa…
Jenerali Qaani: Waliomuua Jenerali Qasim Soleimani hawatawahi kuwa katika amani na usalama
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC alisema:Leo hii, ikiwa kauli mbiu ni kuifikia Quds Tukufu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutafika, na lengo hili ni lengo lenye uhakika. Na lengo letu kuu katika hatua hii ni kuifikia serikali ya ulimwengu ya Hazrat Mahdi (as) na kufikia uwepo wenye baraka wa Imamu wa Zama,…
Nakhaale: Shahidi Suleimani ni alikua kiongozi wa wanamgambo wa Palestina na mtetezi wa kadhia ya Palestina.
Ziyad Nakhaaleh, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesema katika maadhimisho ya mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Jenerali Haj Qassem Soleimani, Abu Mahdi al-Mohandes na masahaba wengine huko Beirut:Damu ya Shahidi Sulemani ilimwagika kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa kikwazo kikubwa kwa siasa za Marekani na utawala wa Kizayuni. Aliongeza kuwa:…
Sheikh Hammoud: Walioanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel wamejitia matatani
Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesema kuwa, walioanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel wamejitia matatani. Sheikh Maher Hammoud amesifu mchango na nafasi ya mashahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis katika kukabiliana na njama chafu za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kueleza kwamba,…
Miaka sita tangu kunyongwa Sheikh Nimr, ukandamizaji unaongezeka Saudia
imepita miaka sita sasa tangu utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulipomnyonga manazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, ambaye alitoa wito wa kuwepo demokrasia katika nchi hiyo na kuitisha maandamano dhidi ya utawala huo Faraan: Tangazo lililotolewa na utawala wa Saudia mnamo Januari 2, 2016 kwamba umemuua mwanazuoni huyo aliyekuwa na umri wa…
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia. Faraan: Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Jumuiya ya Kitaifa ya Familia za Mshahidi Palestina. Katibu mkuu wa jumuiya hiyo Muhammad Sbeihat amesema ripoti hiyo imetegemea utafiti ambao…
Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia
Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha’abi….