Hamas na Jihad Islami: Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani na Tel Aviv hautadhoofisha mapambano ya Wapalestina
Harakati za Hamas na Jihad Islami zimetoa taarifa ya pamoja zikitaka kusitishwa mara moja hatua za taasisi za usalama za Mamlaka ya Ndani dhidi ya taifa la Palestina na mateka walioachiwa huru kutoka kwenye korokoro za Israel. Faraan: Taarifa ya pamoja ya Hamas na Jihad Islami iliyotolewa leo Jumatano imetoa salamu za rambirambi kutokana na…
Kufa shahidi Balozi wa Iran nchini Yemen na ukubwa wa jinai ya mzingiro iliowekewa nchi hiyo na utawala wa Aal Saud
Kufa shahidi Hasan Irlu, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Sana’a kumedhihirisha ukubwa wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud nchini humo. Faraan: Takriban miaka saba imepita tangu muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ulipoanzisha vita dhidi ya Yemen; na zaidi ya miaka mitano tangu Saudia ilipoiwekea mzingiro Yemen na…
Waziri Mkuu wa Sudan kutangaza kujiuzulu katika masaa machache yajayo
Duru za karibu na Waziri Mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok zimetangaza kwamba waziri mkuu huyo atatangaza kujiuzulu katika kipindi cha masaa machache yajayo. Faraan: Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti habari hiyo na kuzinukuu duru mbili zilizoko karibu na Hamdok zikisema kuwa, waziri mkuu huyo wa Sudan atatangaza kujizulu masaa machache yajayo. Hamdok alirejea madarakani tarehe…
Zaidi ya Wazayuni milioni mbili na laki 5 wanaishi chini ya mstari wa umaskini
Taasisi za misaada za utawala wa Kizayuni zimetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Wazayuni milioni 2 na laki 5 na 40,000 wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Faraan: Tovuti ya habari ya al Arabi al Jadid imenukuu ripoti ya taasisi hizo za utawala wa Kizayuni zikisema kwamba asilimia 40 ya kaya na familia za wakazi…
Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Lebanon kufanya kazi kwa pamoja ili kutatua migogoro iliyopo nchini humo, huku akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuisaidia na kuiunga mkono Lebanon kutokana na matatizo yake ya sasa. Faraan: Antonio Guterres ametoa wito huo wakati wa mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari uliofanyika katika…
Ghana yawapiga marufuku wasafiri wa utawala wa Kizyauni kutokana na omicron
Serikali ya Ghana imepiga marufuku kuingia nchini humo wasafiri wote wanaotoka katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kama njia ya kupambana na maambukizo ya kirusi kipya cha corona kiitwacho omicron. Faraan: Mtandao wa habari wa “Ghana Web” umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, amri hiyo imeanza kutekelezwa…
Maelfu waandamana Sudan kupinga utawala wa kijeshi
Maelfu ya raia wa Sudan Jumapili wameshiriki katika maandamano makubwa katika mji mkuu Khartoum na miji mingine kote nchini humo kupinga mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba 25. Faraan: Waandamanaji hao pia wamepinga mkataba wa hivi karibuni uliomrejesha madarakani waziri mkuu wa kiraia Abdalla Hamdok. Maandamano hayo ya Jumapili ni ya kuadhimisha mwaka wa tatu wa…
Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni
Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina imetangaza kuwa kutiwa mbaroni maafisa na Mujahidina wa Palestina hakutazuia makundi ya muqawama kuendelea kukabiliana na uvamizi na vitendo vya kiuadui vya utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Harakati ya Jihad ya Islami imesisitiza katika taarifa yake siku ya Jumatatu jana kwamba kuwaandama maafisa na Mujahidina wa Palestina na…