2021; mwaka wa vifo vingi zaidi vya watoto wa Palestina katika kipindi cha miaka 7 iliyopita
Tovuti moja ya habari ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, baada ya mwaka 2014 yaani wakati vilipotokea vita vya siku 51 na kuuawa shahidi idadi kubwa ya watoto wa Palestina, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya watoto wa Kipalestina waliouliwa shahidi na Israel. Faraan: Mapigano yanayotokea baina ya Wapalestina…
Barua ya Palestina kwa Baraza la Usalama kuhusu hujuma za walowezi wa Kizayuni
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kusitishwa hujuma na mashambulio ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Riyadh Mansur, balozi na mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa katika barua zake mbili tofauti kwa Baraza la…
Barua ya Palestina kwa Baraza la Usalama kuhusu hujuma za walowezi wa Kizayuni
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kusitishwa hujuma na mashambulio ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Riyadh Mansur, balozi na mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa katika barua zake mbili tofauti kwa Baraza la…
Askari wa Israel wamewaua watoto 2000 Wapalestina
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 2,000 tokea mwaka 2000 Faraan: Hayo yamedokezwa na Khaled Quzmar Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Watoto Wapalestina na kuongeza kuwa, baada ya vita vya mwaka 2014 ambavyo viliendelea Ghaza kwa muda wa siku 50, idadi kubwa ya watoto Wapalestina wameuawa…
Vikwazo vya Marekani vinaweza kuwa Rahisi, lakini si vya bei nafuu
Mwaka wa 2021 unapokaribia kuisha, jumuiya ya kimataifa inakabiliwa na majanga kadhaa ya kibinadamu na yale ya usalama yanayoibuka kila uchao, hata zaidi ya janga la kimataifa ambalo limeikumba dunia kwa miaka miwili. Ethiopia inakumbwa na vita tata vya ndani ya nchi baina yao wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimesababisha maafa ya kiasi kikubwa ya kibinadamu,…
Makundi ya Palestina yatoa indhari: Gaza inanyemelewa na maafa ya kibinadamu
Harakati za Palestina za HAMAS na Jihadul-Islami zimetahadharisha kuwa eneo la Ukanda wa Gaza linakabiliwa na hali mbaya sana ya kibinadamu kutokana na mzingiro wa kinyama liliowekewa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Makundi hayo ya muqawama ya Palestina yameeleza katika taarifa baada ya kikao chao cha pamoja kuwa, kuna uzembeaji na ucheleweshaji…
Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu
Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imefanikiwa kushinda mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo. Faraan: Kocha wa Timu ya Taifa ya Soka la Algeria, Majid Bougherra amesema kuwa timu yake inalitunuku Taifa la Palestina na watu wa Ukanda wa Gaza kombe hilo la…
HAMAS yaionya Israel kuhusiana na hujuma zake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha hujuma na mashambulio yake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Taarifa ya HAMAS imeeleza kuwa, Wazayuni watalipa gharama kubwa endapo wataendelea na huujuma na uvamizi wao katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto…