Habari

Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

Ethiopia imekosoa kufanyika kwa kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kujadili na kutathmini visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo kufuatia mzozo unaoendelea kati ya serikali na waasi wa Tigray. Faraan: Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Mataifa Zenebe Kebede amelishutumu baraza hilo akisema limetekwa na fikra…

Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

Walowezi wawili wa Kizayuni wamejeruhiwa na mmoja kuangamizwa katika ufyatuaji risasi wa siku ya Alhamisi iliyopita karibu na kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi cha Homesh huko Nablos katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan inayokaliwa kwa mabavu. Faraan: Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina zimezidi kuongezeka tangu ilipoingia madarakani…

Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel

Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel

Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina. Faraan: Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres,…

Watu 28 wauawa katika mashambulizi ya jeshi la Ethiopia

Watu 28 wauawa katika mashambulizi ya jeshi la Ethiopia

Vyombo vya habari vimewanukuu wanamgambo wa kundi la Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray wakisema kuwa mashambulizi ya anga ya ndege za jeshi la Ethiopia yameua watu 28 na kujeruhi wengine 76 katika mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo. Faraan: Msemaji wa Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) amesema kuwa, watu…

Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

Hatimaye Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu licha ya kupingwa na wabunge wote wa chama cha Republican cha Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani mwenye chuki na uadui mkubwa na Uislamu na Waislamu. Faraan: Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha muswada huo kwa kura 219 za…

Sasa Hamas ina uwezo wa kupiga popote katika ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel

Sasa Hamas ina uwezo wa kupiga popote katika ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel

Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, sasa harakati hiyo ya Kiislamu ina nguvu kubwa za kijeshi ambazo zinaiwezesha kupiga popote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel. Faraan: Televisheni ya al Masirah imemnukuu Mahmoud al Zahar akisema hayo jana Jumatano na…

Shirika la kutetea haki za watoto: 2021, ni mwaka waliouliwa watoto wengi zaidi wa Palestina

Shirika la kutetea haki za watoto: 2021, ni mwaka waliouliwa watoto wengi zaidi wa Palestina

Shirika moja la kutetea haki za watoto limesema, tokea 2014 hadi sasa, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia umwagaji mkubwa zaidi wa damu za watoto wa Palestina. Faraan: Shirika la kutetea haki za watoto liitwalo +972 Magazine limeeleza katika ripoti yake kuwa, badala ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwapandisha kizimbani wauaji, unazihujumu shughuli…

Hizbullah: Marekani inaongoza vita dhidi ya muqawama Lebanon na Asia Magharibi

Hizbullah: Marekani inaongoza vita dhidi ya muqawama Lebanon na Asia Magharibi

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaongoza na kusimamia vita dhidi ya muqawama nchini Lebanon na eneo la Asia Magharibi kwa ujumla. Faraan: Sheikh Naim Qassim amebainisha kuwa, mashambulio na hujuma zilizoratibiwa na zinazofanywa dhidi ya Harakati ya Hizbullah, washirika wake na muqawama nchini Lebanon…