Mufti wa Palestina amlaani mbunge wa Marekani aliyependekeza Msikiti wa Al Aqsa uvunjwe
Mufti wa Mji wa Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani vikali matamshi ya mbunge mmoja nchini Marekani ambaye ametaka Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds uvunjwe. Faraan: Sheikh Muhammad Hussein amelaani matamshi ya kibaguzi ya Paul Gosar, mjumbe katika Baraza la Wawakilishi la Marekani ambaye ameutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuuvunja Msikiti wa Al…
Magaidi 100 wa Al Qaida wauawa katika mpaka wa Burkina Faso na Mali
Mamluki 100 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Qaida wameuawa katika oparesheni za pamoja kati ya Burkina Faso na Niger katika mpaka wa nchi mbili hizo. Faraan: Jeshi la Burkina Faso jana usiku lilitangaza kuwa magaidi hao waliuawa katika oparesheni za pamoja ya nchi mbili hizo kuanzia Novemba 25 hadi tarehe 9 mwezi…
Yemen: Tunataka kuwa na uhusiano wa kirafiki na nchi zote isipokuwa utawala wa Kizayuni
Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema, “sisi tukiwa ndio serikali na utawala wa Yemen tunataka kuwa na uhusiano mzuri na nchi zote isipokuwa utawala wa Kizayuni.” Faraan: Mahdi al Mashat ameeleza kuwa, Sana’a inataka kuanzisha uhusiano wa kirafiki na nchi zingine zote duniani isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa msingi…
Tunalaani tukio la Ugaidi nchini Kenya – Baraza la Usalama
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo mjini New York Marekani limelaani vikali shambulizi la kigaidi lililotekelezwa jana tarehe 15 Januari mjini Nairobi Kenya na kusababisha vifo vya watu 14 na majeruhi. Faraan: Kupitia taarifa yao waliyotoa leo, wanachama wa baraza hilo wameeleza masikitiko na kutuma salamu za rambirambi kwa waathirika na familia…
HAMAS yawahimiza Wapalestina wote kuuhami msikiti wa Al Aqsa na njama chafu za Wazayuni
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imewatolea mwito Wapalestina wote wanaoishi katika ardhi zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na wa mji mtakatifu wa Quds wajitokeze kila mara na kwa wingi katika msikiti wa Al Aqsa ili kukihami kibla hicho cha kwanza cha Waislamu na njama chafu za adui Mzayuni. Faraan: Hamas imesisitiza…
Jihad Islami: Kuanzisha uhusiano na adui Mzayuni ni khiyana na usaliti kwa Palestina
Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imelaani vikali kitendo cha viongozi wa Imarati cha kumpokea nchini humo Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, hiyo ni khiyana na usaliti kwa taifa la Palestina. Faran: Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ambaye jana usiku aliwasili huko Imarati, leo…
Skuli ya Sheria ya Chuo Kikuu cha New York yaususia utawala wa Kizayuni
Baraza la Wanachuo wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha New York nchini Marekani limetangaza rasmi kuiunga mkono Harakati ya Vikwazo na Kuususia Utawala ghasibu wa Israel (BDS). Faraan: Wanachama wa Baraza hilo la Chuo Kikuu cha New York Marekani wamepiga kura zao zote na kuituhumu Israel kuwa inazikalia kwa mabavu na kuzikoloni ardhi…
Mkuu wa Harakati ya Kiislamu katika ardhi za Palestina zilizoghusubiwa mwaka 1948 aachiwa huru
Duru za habari zimearifu kuwa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu katika ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu tangu mwaka 1948 ameachiwa huru kutoka katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Shirika la habari la Sama limeripoti kuwa, Sheikh Raed Salah ameachiwa huru leo baada ya kufungwa kwa miezi 28 katika jela ya utawala…