Wasaudia wengi wapinga kuanzishwa rasmi uhusiano na utawala wa Kizayuni
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni unaonyesha kuwa, asilimia 77 ya wananchi wa Saudi Arabia wanapinga suala la kuanzishwa rasmi uhusiano kati ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Gazeti la Arab 21 limeandika kuwa, uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na shirika binafsi la kibiashara la kieneo mwezi Novemba mwaka huu…
Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni
Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu. Faraan: Karibu miezi sita imepita tangu kuundwa serikali mpya ya utawala wa Kizayuni. Serikali ya hivi sasa ya Israel iliundwa baada ya…
Israel yapata kiwewe kikubwa cha mashambulio tarajiwa ya HAMAS
Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na kiwewe kikubwa cha mashambulio tarajiwa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS baada ya viongozi wa harakati hiyo kusisitiza kuwa, watatoa majibu makali kwa uchokozi na chokochoko za jeshi la utawala huo ghasibu. Faraan: Duru za utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel zinaripoti kwamba, vyombo…
Amnesty International: Ghasia kubwa za Sudan Kusini zinaweza kuwa uhalifu wa kivita
Ripoti iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imesema kuwa kuongezeka kwa mapigano kati ya makundi hasimu yenye silaha yanayoshirikiana na serikali na vikosi vya upinzani nchini Sudan Kusini mwaka huu kumeua makumi ya raia na kuibua “vurugu zisizotasawarika” ambazo zinaweza kuwa uhalifu wa kivita. Faraan: Katika ripoti yake mpya iliyotolewa…
Idadi ya waliouawa katika machafuko ya Darfur, Sudan yafikia 88
Idadi ya watu waliouawa katika ghasia na machafuko yaliyotokea baina ya makabila hasimu katika jimbo la Darfur huko magharibi mwa Sudan imeongezeka na kufikia 88 huku wengine 84 wakijeruhiwa. Faraan: Kabla ya hapo iliripotiwa kuwa, watu 50 wameuawa katika ghasia na machafuko yaliyotokea baina ya makabila hasimu katika jimbo la Darfur huko magharibi mwa Sudan….
Wafungwa 21 waliotoroka baada ya kushambulia jela moja nchini Nigeria, wakamatwa
Maafisa wa Nigeria wamethibitisha taarifa zinazosema kuwa, wafungwa 21 kati ya waliotoroka baada ya jela moja kushambuliwa na watu wenye silaha katika jimbo la Plateau la katikati mwa nchi hiyo, wamekamatwa na kurejeshwa jela. Faraan: Kwa uchache watu 11 waliuwa na wafungwa 252 walitoroka baada ya watu wenye silaha kuivamia jela hiyo iliyoko katika mji…
Maandamano ya kupinga safari ya waziri wa vita wa Israel yashamiri nchini Morocco
Maandamano ya kupinga safari ya waziri wa vita wa Israel nchini Morocco yamesambaa zaidi katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Faraan: Wananchi wa Morocco katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu, Rabat, wamefanya maandamano wakipinga safari ilioyofanywa nchini humo na waziri wa vita wa utawala haramu wa Israel, Benny…
Rais wa Algeria: Nchi za Kiarabu zinapaswa kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Israel
Rais wa Algeria amesisitiza udharura wa nchi za Kiarabu kushirikiana kwa ajili ya kusaidia mapambano ya ukombozi ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel. Faraan: Abdelmadjid Tebboune ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas aliyeko safari nchini Algeria ambako ametangaza msaada wa…