Habari

Rambirambi za Kiongozi Muadhamu kufuatia kufa shahidi Rais Raisi na wenzake

Rambirambi za Kiongozi Muadhamu kufuatia kufa shahidi Rais Raisi na wenzake

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe alioandamana nao. Kwa mujibu wa tovuti ya kituo cha habari cha Ofisi ya Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake leo Jumatatu, ametuma salamu…

Ayatollah Raisi aaga dunia

Ayatollah Raisi aaga dunia

Ayatollah Raisi, rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameuawa kishahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzkaan Mashariki mwa Azabaja na kuaga dunia. Miongoni mwa waliokuwepo kwenye ajali hii katika helikopta iliyombeba rais ni Ayatollah Al-Hashem, Imamu wa Ijumaa wa Tabriz, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Dkt. Hossein Amir Abdollahian,…

Russia: Umoja wa Ulaya hauna uvumilivu katika suala la uhuru wa kutoa maoni

Russia: Umoja wa Ulaya hauna uvumilivu katika suala la uhuru wa kutoa maoni

pika wa Bunge la Russia Duma ameushutumu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kubana maoni mbadala na kuminya uhuru wa kujieleza kwa lengo la kuwahadaa raia. Vyacheslav Volodin ameeleza hayo kufuatia marufuku ya hivi karibuni iliyopitishwa na Brussels kwa vyombo vya habari vya Russia na kuibua indhari za kujibu mapigo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya…

Jaribio la mapinduzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Jaribio la mapinduzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lilitangaza jaribio la watu wenye silaha kufanya mapinduzi katika nchi hii. Vyanzo vya ndani vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeripoti ufyatuaji risasi mjini Kinshasa, mji mkuu wa nchi hii, saa sita mchana leo (Jumapili). Dakika chache baada ya kuchapishwa kwa ripoti hii, msemaji wa serikali ya Kongo…

Burkina Faso, Mali na Niger zaafiki mradi wa muungano

Burkina Faso, Mali na Niger zaafiki mradi wa muungano

Mawaziri wa mambo ya nje wa Burkina Faso, Mali, na Niger, Karamoko Jean Marie Traore, Abdoulaye Diop, na Bakary Yaou Sangare, wameidhinisha rasimu ya waraka wa kuundwa muungano wa nchi hizo tatu wakati wa mkutano katika mji mkuu wa Niamey. Rasimu hiyo sasa lazima isainiwe na viongozi wa nchi hizo tatu. Waziri wa Mambo ya…

Kufanyika kwa Mkutano wa Quds, turathi za pamoja katika dini za mbinguni na mhimili wa umoja kati ya Umma wa Kiislamu nchini Tanzania.

Kufanyika kwa Mkutano wa Quds, turathi za pamoja katika dini za mbinguni na mhimili wa umoja kati ya Umma wa Kiislamu nchini Tanzania.

Sambamba na kuwasili kwa Siku ya Quds Duniani; Mkutano wa Quds ambao ni turathi za pamoja za dini za mbinguni na mhimili wa umoja kati ya Umma wa Kiislamu ulifanyika nchini Tanzania kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya vijana wapenda haki na wapenda uhuru kutoka vituo mbalimbali vya kielimu na vya kidini. Kulingana na IRNA,…

Senegal yafunga kambi za kijeshi za Ufaransa

Senegal yafunga kambi za kijeshi za Ufaransa

“Othman Sonko”, Waziri Mkuu wa Senegal, alikosoa uwepo wa jeshi la Ufaransa katika nchi hii ya Kiafrika na kutaka kuvunjwa kwa kambi za kijeshi za nchi hiyo. Kulingana na IRNA, akinukuu Reuters, Sonko alisema Alhamisi katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na mwanasiasa wa mrengo wa kushoto wa Ufaransa Jean-Luc Melenchon: “Zaidi ya miaka…

UN: Kuna wasiwasi juu ya ongezeka la machafuko huko El Fasher, magharibi mwa Sudan

UN: Kuna wasiwasi juu ya ongezeka la machafuko huko El Fasher, magharibi mwa Sudan

Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amesema leo Ijumaa kwamba “ameshtushwa” na ongezeko la ghasia karibu na mji wa El Fasher huko magharibi mwa Sudan. Volker Türk ameleza hayo huku Umoja wa Mataifa ukionya kwamba, umepokea asilimia 12 tu ya ufadhili unaohitajika kukabiliana na mgogoro wa binadamu nchini Sudan. Türk…